Usiingilie uhuru wa watu kutoa maoni yao. Ni kinyume cha katiba ya JMT. Umetumwa na Bakita kuangalia maudhui humu JF?
Kwa hiyo ulitaka waseme kapigwa hata hajapigwa. Kama unahakika kapigwa unaweza kuthibitishia umma pia. Maana hao majirani hawawezi kudanganya.
Kwa Mambo ya kijinga aliyofanya anatofauti gani na kibaka? Mbowe kaanguka hakumwambia mwanae anayeishi nae katika hiyo nyumba kaenda kumpa taarifa Joyce.Ripoti ya polisi imeandikwa kwa kujenga dhaba ya kumchafua Mbowe. Bila kujali nafasi yake katika jamii mtu mzima mwenye familia ripoti ile ni kama inamuongelea kibaka.
Ahaaaaa. Nacheka sina mbavu. Yaani maana na maudhui yanafanana na ya Idugunde kwa kila mada. Au una tafuta nini? Maana hoja ni Polisi kutumia Cctv camera footage badala ya watu. Jaribu kujikita kwenye mada. Japokuwa najua mwenyekiti amewakatisha tamaa.Nasema hivi, watu huwa wanasema eti kuna watu wana id zaidi ya moja, mimi nasema haiwezekani kuwa na zaidi ya moja na zote zikawa zinachangia, maana maudhui yatakuwa ni yale yale. Hapa hatutaandikia mate, ngoja niangalie hii na ile zitachangia vipi hapa jukwaani. Hakuna anayekuzuia kuchangia, ila utajua kuwa sisi wengine ni next level.
Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!I never thought you could be this coward!
I remember "kitimoto" back then
Though i was in my very early teenage but your bravery to demand answers to some community burning issues inspired me.
But today this uncle pasco ain't the same bold dude i used to know
Old age has caught up witchu maaaan.
Kwa mujibu wa polisi majirani hawakusikia kelele za mtu kuomba msaada wakati anakanyagwakanyagwa. Victim anasema akipiga mayowe na kelele kuomba msaada. Kwa hiyo majirani wanasema uongo?Majirani hawawezi kudanganya? Unajua unachosema?
Ahaaaaa. Nacheka sina mbavu. Yaani maana na maudhui yanafanana na ya Idugunde kwa kila mada. Au una tafuta nini? Maana hoja ni Polisi kutumia Cctv camera footage badala ya watu. Jaribu kujikita kwenye mada. Japokuwa najua mwenyekiti amewakatisha tamaa.
Kwa mujibu wa polisi majirani hawakusikia kelele za mtu kuomba msaada wakati anakanyagwakanyagwa. Victim anasema akipiga mayowe na kelele kuomba msaada. Kwa hiyo majirani wanasema uongo?
Uzuri kama Chadema hawajaridhika na majibu ya polisi. Sababu zipo wanaweza kutumia wanasheria na zikatumika. Ila ushahidi wa binadamu reliable and best evidence.Nasema hivi ushahidi wote upo ndani ya CCTV camera maana hizo haziogopi polisi, usalama wa taifa wala nini. Hizo zinaonyesha kilichotokea kwa uhalisia wake. Kisha zikipatikana hizo, kila mmoja kuanzia Mbowe, polisi, Ndugai& co wataanza kuongea ukweli wao kutokana na kile kinachoonekana kwenye footage. Hilo mbona rahisi sana. Hizo CCTV footage hatuzihitaji kwa bahati mbaya, tunajua kiwango cha uongo na uzandiki wa wazi wa taasisi zetu.
Uzuri kama Chadema hawajaridhika na majibu ya polisi. Sababu zipo wanaweza kutumia wanasheria na zikatumika. Ila ushahidi wa binadamu reliable and best evidence.
kipara kipyaUnataka kuamini ripoti gani zaidi ya hiyo ya polisi au tayari una upelelezi wako na ripoti uliyoiandaa kichwani,Mbowe aseme hakulewa,uchunguzi wa lissu alimkimbiza dereva kuficha ukweli kama huu!
Kwani mkiweka mwanasheria ili Cctv footage zitumike polisi watakataa? Mbona kila kitu mnaogopa?Boss nasema hivi, CCTV footage ndio kila kitu. Hayo mengine ni mbwembwe tu. Hao wanasheria ingekuwa na maana kama kuna ufuataji wa sheria. Tunaujua vizuri utendaji kazi wa polisi, na kiwango duni cha uadilifu uliopo kwenye vyombo vyetu vya dola. Ni hivi, CCTV footage ndio pekee zenye ukweli wote na sio binadamu yoyote.
Uchunguzi umeshafungwa hio ndio ripoti ya uchunguzi,Muulize vizuri chairman!kipara kipya
Kama hoja ya Polisi kutokamilisha upelelezi wa kupigwa risasi Tundu Lissu ni kwa sababu Tundu Lissu pamoja na dereva wake hawapo, ni kwa vipi upelelezi wa tukio la Freeman Mbowe umekamilika, wakati hawajamuhoji Mbowe?
Just go with a technologies? Bora uwe unaandika kiswahili tu. Alafu kwa akili yako kati ya ushahidi wa binadamu na Cctv video footage upi una nguvu mahakani? Maana Cctv video footage lazima wataalamu waje wathibitishe kitalaamu kama kweli mlevi anadondoka. Binandu mwenye akili timamu ana sense kwa sensory organs na anatoa direct evidence.Kama hawakusikia mtu akishambuliwa Cctv ndio zitarekodi?
Kwani mkiweka mwanasheria ili Cctv footage zitumike polisi watakataa? Mbona kila kitu mnaogopa?