Ndugai ndie kafanya uchunguzi...Wametumia maneno yale yale aliyoyasema spika "alilewa chakari" hivi Police walikosa maneno ya kuandika hadi waseme kile alichokisema spika?
Halafu Lumumba wana sahau kama umalaya viongozi wao ndio wana ongoza maana hupatanishwa na wake zao wa ndoa kipindi cha uchaguzi. Waangalie records za viongozi wao ndipo wamseme Mbowe alie pigwa na wapambe wa CcmUnadhani walishindwa kumuuguza kimya kimya bila mtu kujua kama kuna issues kama hizo? ? Nani angelijua hayo ya ulevi?
Ila wewe ni tofauti na wenzako Lumumba/Mataga, umejaribu kujenga hoja.
Dada naona utopolo mwenzio anakupa mistari mkamalizane vipi,msalimie afande utopoloMbowe alikataa cctv camera nyumbani kwake
Acha kumlingqnisha Yesu na vitu vya kijingaMathayo 27:20
Nao wakuu wa makuhani na Wazee wakawashawishi makutano ili wamtake Baraba na kumwangamiza Yesu. AMEN
Weka ushahidi wakati anakataaMbowe alikataa cctv camera nyumbani kwake
Wauza bangi tu haoHawa polis wameharibiwa na wanasiasa, polis hawaaminiki
Hizi za Tanzania.Nakuuliza kwa mahakama zipi?
Humtetei kwa kwa sababu alilewa chakarii?"Simple and clael" jirekenishe na ww . Japokuwa kwenye hili simtetei mbowe
Hizi za Tanzania.
Ile press conference haikuwa na mantiki hata kidogo maana hakuna la maana alilosema. ajathibitisha kama mbowe alianguka kwa ulevi, hajathibitisha kama alipigwa.Ndugu zangu polisi just simple and cleal fungueni CCTV camera ZA nyumba ya Mbowe over.
Ni jambo la aibu polisi unatoa matokeao ya uchunguzi wako alafu unasema kama kuna mtu Ana taarifa akupe ulizo toa wewe nu USHUZI?.
Ni aibu wewe mtaalamu wetu unasema tukio bado mnalichuguza unachunguza nini wakti umeisha toa taarifa?
Simple and cleal ameandika mtoa mada ambae wamesoma degree na Peter Lijualikali chuo kimoja."Simple and clael" jirekenishe na ww . Japokuwa kwenye hili simtetei mbowe
Ndugu zangu polisi just simple and cleal fungueni CCTV camera ZA nyumba ya Mbowe over.
Ni jambo la aibu polisi unatoa matokeao ya uchunguzi wako alafu unasema kama kuna mtu Ana taarifa akupe ulizo toa wewe nu USHUZI?.
Ni aibu wewe mtaalamu wetu unasema tukio bado mnalichuguza unachunguza nini wakti umeisha toa taarifa?
Halafu huyu atatoa matokeo gani?Dada naona utopolo mwenzio anakupa mistari mkamalizane vipi,msalimie afande utopoloView attachment 1476956
Wamesoma chuo gani hawa.?Simple and cleal ameandika mtoa mada ambae wamesoma degree na Peter Lijualikali chuo kimoja.
Just go with a technologies? Bora uwe unaandika kiswahili tu. Alafu kwa akili yako kati ya ushahidi wa binadamu na Cctv video footage upi una nguvu mahakani? Maana Cctv video footage lazima wataalamu waje wathibitishe kitalaamu kama kweli mlevi anadondoka. Binandu mwenye akili timamu ana sense kwa sensory organs na anatoa direct evidence.Kama hawakusikia mtu akishambuliwa Cctv ndio zitarekodi?
Kwasababu sishabikii siasa wa siko upande wa chama chochote.Humtetei kwa kwa sababu alilewa chakarii?
Sio vizuri kukitaja.Wamesoma chuo gani hawa.?
Binadamu,ulimi hauna mfupa.Binandu, ndio nini?