Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Wametumia maneno yale yale aliyoyasema spika "alilewa chakari" hivi Police walikosa maneno ya kuandika hadi waseme kile alichokisema spika?
Ndugai ndie kafanya uchunguzi...
 
Unadhani walishindwa kumuuguza kimya kimya bila mtu kujua kama kuna issues kama hizo? ? Nani angelijua hayo ya ulevi?
Ila wewe ni tofauti na wenzako Lumumba/Mataga, umejaribu kujenga hoja.
Halafu Lumumba wana sahau kama umalaya viongozi wao ndio wana ongoza maana hupatanishwa na wake zao wa ndoa kipindi cha uchaguzi. Waangalie records za viongozi wao ndipo wamseme Mbowe alie pigwa na wapambe wa Ccm
 
Mbowe alikataa cctv camera nyumbani kwake
Dada naona utopolo mwenzio anakupa mistari mkamalizane vipi,msalimie afande utopolo
IMG_20200610_121059.jpeg
 
Ndugu zangu polisi just simple and cleal fungueni CCTV camera ZA nyumba ya Mbowe over.

Ni jambo la aibu polisi unatoa matokeao ya uchunguzi wako alafu unasema kama kuna mtu Ana taarifa akupe ulizo toa wewe nu USHUZI?.
Ni aibu wewe mtaalamu wetu unasema tukio bado mnalichuguza unachunguza nini wakti umeisha toa taarifa?
Ile press conference haikuwa na mantiki hata kidogo maana hakuna la maana alilosema. ajathibitisha kama mbowe alianguka kwa ulevi, hajathibitisha kama alipigwa.
Assume ni kweli alikuwa kalewa, is it a crime kunywa pombe Tanzania? Assume alikuwa kumbi za starehe kama alivyosema is it a crime?
Yani ile alifanya makusudi kuwafurahisha akina Ndungai badala ya kutoa maelezo ya kujitosheleza. Sema ndiyo hivyo watanzania wengi wanaamini wanachokisikia.
 
Ndugu zangu polisi just simple and cleal fungueni CCTV camera ZA nyumba ya Mbowe over.

Ni jambo la aibu polisi unatoa matokeao ya uchunguzi wako alafu unasema kama kuna mtu Ana taarifa akupe ulizo toa wewe nu USHUZI?.
Ni aibu wewe mtaalamu wetu unasema tukio bado mnalichuguza unachunguza nini wakti umeisha toa taarifa?

Key anazo mbowe, subili apone atawafungulia waone,
 
Just go with a technologies? Bora uwe unaandika kiswahili tu. Alafu kwa akili yako kati ya ushahidi wa binadamu na Cctv video footage upi una nguvu mahakani? Maana Cctv video footage lazima wataalamu waje wathibitishe kitalaamu kama kweli mlevi anadondoka. Binandu mwenye akili timamu ana sense kwa sensory organs na anatoa direct evidence.Kama hawakusikia mtu akishambuliwa Cctv ndio zitarekodi?

Binandu, ndio nini?
 
Back
Top Bottom