Wewe 7000/-, unachotakiwa kujuwa ni kwamba cctv footage ni sehemu ya ushahidi uliopaswa kuchukuliwa kisheria japo mimi sio mwanasheria ukienda kwenye sheria ya ushahidi ushahidi wa kielekroniki unatakiwa uzingatiwe kama upoMtoto wa Mbowe na CCTV Nani mkweli zaidi?.Mwanawe wa kumzaa alikuwepo hapo eneo la tukio hakuona Wala kusikia kelele
Yaani polisi jinsi walivyolirudia rudi jina Mukya, duh!
Vipi, leo website ya ubalozi USA inasemaje?Ukiwa polisi Tanzania ni raha sana !
Ukweli lazima usemwe, hata kama huupendi. Kamanda alidondoka baada ya kulewa chakali, cd imebuma kuhit. Alitaka hata kulewa akutumie kupata huruma.Hiyo sio proffesional statement kwa taasisi kubwa kama tanpol,hiyo ni kauli ya kimbea,kishankupe,kishambenga,ki mwananyamala kwa makoma au kitandale kwa tumbo.
Mkuu hadi chadema wenzio wakisoma hii coment watakuona mjinga!CCM na muendelezo wake wa kaole!! Aibu kwa nchi.
Kwani ni ajabu kunywa pombe, kwani ni ajabu kudondoka kwenye ngazi na kuvunja mguu ama mkono au hata kutegua kiuno?
Mbona Dr. Slaa alidondoka bafuni akavunja mkono kwa nini hajasema alishambukiwa?
Mambo mengine ni kuzidi kujiaibisha tu kama Taifa.
Ukweli UPI nyie pimbi??Ukweli lazima usemwe, hata kama huupendi.
Ndio ujue sasa huo uchunguzi wa polisi umeanzia huko kwenye cctvHana access maafisa wa serikali ndiyo wenye access
nimeku-ignore!Ukweli UPI nyie pimbi??
Aibu, anaanzaje?Hivi mpaka sasa yeye Mbowe hawezi ongea?
CCM ya sasa hovyo kabisa, huo ni utoto wa ajabu!!Mkuu hadi chadema wenzio wakisoma hii coment watakuona mjinga!
Yote hayo uliyoeleza ruksa mtu yeyote kufanya, ni nchi huru hii, selikali ya ccm inawalindia nchi mnakuwa salama manalewa hadi saa saba za usiku.
Shida ni kusingizia umeshambuliwa alafu unatupia lawama selikali.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Cctv zile zimefungwa hadi nje hizo za nje ndiyo nazungumzia mimi ambazo huwezi kupata footage hadi uwe na access ya control room, ndiyo maana cctv za kwa lissu pia watu waliziomba wakashindwa kuzipata kwa sababu hakuna mwenye acces na control roomCCTV zifungwe ndani kwako alafu usiwe na access nazo ... ndugu yangu serikali haimfungii mtu CCTV ndani kwake nikuingilia privacy
Kimada Joyce Mukya ana nguvu kuliko hata mtoto wa kumzaa wa Mbowe.
Mke wa ndoa wa Mbowe Ni daktari Tena bingwa akaona taarifa hizo zimfikie kimada sio mkewe wa ndoa Wala mwanawe.
Maisha haya puuuui.
Pole Sana mke wa ndoa wa Mbowe
Mwambie Mbowe aache ulevi oktoba inakaribiaHiyo sio proffesional statement kwa taasisi kubwa kama tanpol,hiyo ni kauli ya kimbea,kishankupe,kishambenga,ki mwananyamala kwa makoma au kitandale kwa tumbo.
Mtoto wa Mbowe na CCTV Nani mkweli zaidi?.Mwanawe wa kumzaa alikuwepo hapo eneo la tukio hakuona Wala kusikia kelele
Hana mdomo?Aibu, anaanzaje?
Wataiona tu na watajisikia aibu sanaCCM ya sasa hovyo kabisa, huo ni utoto wa ajabu!!
Haya wapeleekeeni na waliowahoji EU, US na UK hiyo riport yenu.
Huyu Mkuya inaonekana ni mtamu sana kuliko Lilian maana kila janga anahusishwa yeye.
Chadema ni muda muafaka sasa iangalir namna nzuri ya uendeahaji chama chao...biashara ife..mazoea yafe..heshima kwa serikali iliyoko madarakani ni muhimu sana!