Wewe 7000/-, unachotakiwa kujuwa ni kwamba cctv footage ni sehemu ya ushahidi uliopaswa kuchukuliwa kisheria japo mimi sio mwanasheria ukienda kwenye sheria ya ushahidi ushahidi wa kielekroniki unatakiwa uzingatiwe kama upoMtoto wa Mbowe na CCTV Nani mkweli zaidi?.Mwanawe wa kumzaa alikuwepo hapo eneo la tukio hakuona Wala kusikia kelele