Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Mtoto wa Mbowe na CCTV Nani mkweli zaidi?.Mwanawe wa kumzaa alikuwepo hapo eneo la tukio hakuona Wala kusikia kelele
Wewe 7000/-, unachotakiwa kujuwa ni kwamba cctv footage ni sehemu ya ushahidi uliopaswa kuchukuliwa kisheria japo mimi sio mwanasheria ukienda kwenye sheria ya ushahidi ushahidi wa kielekroniki unatakiwa uzingatiwe kama upo
 
Hiyo sio proffesional statement kwa taasisi kubwa kama tanpol,hiyo ni kauli ya kimbea,kishankupe,kishambenga,ki mwananyamala kwa makoma au kitandale kwa tumbo.
 
Yaani polisi jinsi walivyolirudia rudi jina Mukya, duh!

Nina mashaka sana na hiki kinachoendelea, maelezo aliyotoa Mbowe hapo mwanzo, na hiki wanachosema polisi sasa. Hapa nahisi Mbowe hakusema ukweli wote mwanzo, na polisi na bunge wanaonekana kutake advantage ya udhaifu wa maelezo ya Mbowe ya awali, ndio maana CCTV footage haziongelewi kabisa kwenye tukio hili. Ngoja tunywe mtori nyama tutazikuta chini.
 
Hiyo sio proffesional statement kwa taasisi kubwa kama tanpol,hiyo ni kauli ya kimbea,kishankupe,kishambenga,ki mwananyamala kwa makoma au kitandale kwa tumbo.
Ukweli lazima usemwe, hata kama huupendi. Kamanda alidondoka baada ya kulewa chakali, cd imebuma kuhit. Alitaka hata kulewa akutumie kupata huruma.
 
CCM na muendelezo wake wa kaole!! Aibu kwa nchi.

Kwani ni ajabu kunywa pombe, kwani ni ajabu kudondoka kwenye ngazi na kuvunja mguu ama mkono au hata kutegua kiuno?

Mbona Dr. Slaa alidondoka bafuni akavunja mkono kwa nini hajasema alishambukiwa?

Mambo mengine ni kuzidi kujiaibisha tu kama Taifa.
Mkuu hadi chadema wenzio wakisoma hii coment watakuona mjinga!

Yote hayo uliyoeleza ruksa mtu yeyote kufanya, ni nchi huru hii, selikali ya ccm inawalindia nchi mnakuwa salama manalewa hadi saa saba za usiku.

Shida ni kusingizia umeshambuliwa alafu unatupia lawama selikali.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
CCM ya sasa hovyo kabisa, huo ni utoto wa ajabu!!

Haya wapeleekeeni na waliowahoji EU, US na UK hiyo riport yenu.
 
CCTV zifungwe ndani kwako alafu usiwe na access nazo ... ndugu yangu serikali haimfungii mtu CCTV ndani kwake nikuingilia privacy
Cctv zile zimefungwa hadi nje hizo za nje ndiyo nazungumzia mimi ambazo huwezi kupata footage hadi uwe na access ya control room, ndiyo maana cctv za kwa lissu pia watu waliziomba wakashindwa kuzipata kwa sababu hakuna mwenye acces na control room
 
Na bila huyu mke wa Mbowe, dj asingepewa chama leo hii anamdhalilisha
Kimada Joyce Mukya ana nguvu kuliko hata mtoto wa kumzaa wa Mbowe.

Mke wa ndoa wa Mbowe Ni daktari Tena bingwa akaona taarifa hizo zimfikie kimada sio mkewe wa ndoa Wala mwanawe.

Maisha haya puuuui.

Pole Sana mke wa ndoa wa Mbowe
 
Mtoto wa Mbowe na CCTV Nani mkweli zaidi?.Mwanawe wa kumzaa alikuwepo hapo eneo la tukio hakuona Wala kusikia kelele

Kwa taarifa yako CCTV footage zinasema ukweli kuliko Polisi, Mbowe, mtoto wake na mwingine awaye yote. Kwa hapa tulipo wote wenye akili timamu tunangoja tu ukweli wa CCTV footage, na sio maelezo ya polisi, Mbowe, mtoto wa Mbogwe, kimada Mbowe au nani.

NB: ukitaka kujua watu wamepuuza bajeti, angalia watakaichangia kwenye uzi huu, na wale waliochangia kwenye bajeti.

Cc:
 
Back
Top Bottom