Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Mbowe alikataa cctv camera nyumbani kwakeMbona hawajazungumzia footage ya cctv camera ? Au waliona hakuna haja ya kuangalia cctv,
By the way wamenata na biti
Atakuja kukupandia
Hizo CCTV camera kama zipo kwa nini Mbowe asizitoe ili awashushue polisi?Wewe 7000/-, unachotakiwa kujuwa ni kwamba cctv footage ni sehemu ya ushahidi uliopaswa kuchukuliwa kisheria japo mimi sio mwanasheria ukienda kwenye sheria ya ushahidi ushahidi wa kielekroniki unatakiwa uzingatiwe kama upo
Umbea wewe shetaniMbowe alikataa cctv camera nyumbani kwake
jHaya Sasa mambo wazi kabisa ni aibu hii kwa chadema kusema uongo sijui wataficha wapi sura zao chadema [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Hahahaha vipi huwa nakulipa ili uni-follow??nimeku-ignore!
Hapa tu ndio penye kila kitu. Sasa nazidi kupata shaka na huu ushahidi wa kuzunguka wakati kuna CCTV Cameras, na Bado hazitumiki kwenye ushahidi wa tukio hili!
Mshamaliza taarifa ya nini sasa? Ila Kuna siku tutakayotaman kurudia nyakati hizi za utii wa wananchi itakua too late.
Kwanini usizungumzie za ndani ambako ndipo alipopigiwaCctv zile zimefungwa hadi nje hizo za nje ndiyo nazungumzia mimi ambazo huwezi kupata footage hadi uwe na access ya control room, ndiyo maana cctv za kwa lissu pia watu waliziomba wakashindwa kuzipata kwa sababu hakuna mwenye acces na control room
Hizo CCTV camera kama zipo kwa nini Mbowe asizitoe ili awashushue polisi?
Kama JokateHuyu Mkuya inaonekana ni mtamu sana kuliko Lilian maana kila janga anahusishwa yeye.
Its time for Mbowe to step down kama kiongozi,watu wamepiga kelele wee ashuke lakini kawa jeuri ona sasa aibu hii..sidhani kama wanachadema watamsamehe...by the way,mimi sioni cha ajabu alichokifanya..a man should have social life..kama ni kunywa ulabu kupindukia apatiwe msaada arudi kwenye mstari...watu wanapona alcoholisim na wanarudi kwenye shughuli zao...
Dereva wamemficha anatakiwa ahojiwe ndio ripoti itokeBroo MBNA ripoti ya lisu hatupewi au hao uliowasifia wamesahau
j
Mmmmh!!Kimada Joyce Mukya ana nguvu kuliko hata mtoto wa kumzaa wa Mbowe.
Mke wa ndoa wa Mbowe Ni daktari Tena bingwa akaona taarifa hizo zimfikie kimada sio mkewe wa ndoa Wala mwanawe.
Maisha haya puuuui.
Pole Sana mke wa ndoa wa Mbowe
Aisee hata mimi nashangaa.CHADEMA mko wapi mwenyekiti anazalilishwa
😂View attachment 1476433Gembe sio chai...
Tulitegemea hii taarifa kuwa hivi.