Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Wewe 7000/-, unachotakiwa kujuwa ni kwamba cctv footage ni sehemu ya ushahidi uliopaswa kuchukuliwa kisheria japo mimi sio mwanasheria ukienda kwenye sheria ya ushahidi ushahidi wa kielekroniki unatakiwa uzingatiwe kama upo
Hizo CCTV camera kama zipo kwa nini Mbowe asizitoe ili awashushue polisi?
 
Mbowe alikataa cctv camera nyumbani kwake
Hapa tu ndio penye kila kitu. Sasa nazidi kupata shaka na huu ushahidi wa kuzunguka wakati kuna CCTV Cameras, na Bado hazitumiki kwenye ushahidi wa tukio hili!
 
Cctv zile zimefungwa hadi nje hizo za nje ndiyo nazungumzia mimi ambazo huwezi kupata footage hadi uwe na access ya control room, ndiyo maana cctv za kwa lissu pia watu waliziomba wakashindwa kuzipata kwa sababu hakuna mwenye acces na control room
Kwanini usizungumzie za ndani ambako ndipo alipopigiwa
 
Hizo CCTV camera kama zipo kwa nini Mbowe asizitoe ili awashushue polisi?

Jijibu ni kwamba hana access na control room ya CCTV, zile zimewekwa na maafisa hivyo wenye access ni hao hao maafisa, sio kila mtu ndiyo maana cctv za kwa lissu 'zitolewa' jiulize nani aliyeondoa hizo cctv?
 
Suala hapa ni kudanganya umma kuwa alivamiwa,which everyone could have done that, first to protect his family and second to protect his image..ukiniquote uniambie what could you have done in this scenario??? otherwise kuchepuka wanaume wengi wanachepuka, wengine mmecomment kwenye hii thread na mnachepuka hata mkulu wenu wa pale magogoni anachepuka tena yeye its even worse kamzalisha mke wa mtu!!!!!
 
Sisi Wanachadema tunamuachia chama bora tuende Nccr mageuzi tu
Its time for Mbowe to step down kama kiongozi,watu wamepiga kelele wee ashuke lakini kawa jeuri ona sasa aibu hii..sidhani kama wanachadema watamsamehe...by the way,mimi sioni cha ajabu alichokifanya..a man should have social life..kama ni kunywa ulabu kupindukia apatiwe msaada arudi kwenye mstari...watu wanapona alcoholisim na wanarudi kwenye shughuli zao...
 
Kimada Joyce Mukya ana nguvu kuliko hata mtoto wa kumzaa wa Mbowe.

Mke wa ndoa wa Mbowe Ni daktari Tena bingwa akaona taarifa hizo zimfikie kimada sio mkewe wa ndoa Wala mwanawe.

Maisha haya puuuui.

Pole Sana mke wa ndoa wa Mbowe
Mmmmh!!
 
Back
Top Bottom