Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Hawa ndio wana jiita chama makini.
Kaumia mguu sawa, ametibiwa Dodoma sawa.... Naomba kujua ametumia kiasigani hela za Chama kwajili ya kwebda Dar kwa safari ambayo haikuwa na ulazima.
Hawa wakipewa nchi watatupeleka wapi???? . Hiki chama hakifai, kipo kwajili ya matumbo yao tu. Mpango wao mkubwa nikuchafua nchi na Rais aliepo madarakani hizi ndio tunaita siasa chafu.
 
Kumwita Joyce Mukya mzazi mwenzie wa Mbowe si kweli alimbaka kavu kavu akazaliwa mtoto zao la ubakaji

Tuhuma za ngono za Mbowe kwa wabunge viti maalumu moja ya ushahidi Ni huyo Joyce Mukya

Joyce Mukya akilipa jeshi la polisi ushirikiano aweza lipwa na Mbowe fidia ya mabilioni kwa ubakaji na kumuambukiza maradhi kwa ngono zembe ya kibakaji iliyotumika

Joyce Mukya kakamaa ungana na wanawake wenzio chadema waathirika wa ngono za Mbowe

Haya maelezo marefu lengo lake ni kupotosha ukweli halisi wa kile kilichotokea. CCTV Cameras footage pekee ndio zitasema ukweli. Hizo nyingine zote ni mbwembwe.
 
Jeshi la Polisi Jijini Dodoma kupitia kwa Kamanda wa Polisi MUROTO limeeleza hakuna shahidi yeyote aliyesikia kelele wala kuona MBOWE akishambuliwa kama alivyodai. Mbowe alitokea kwa mzazi mwenzake JOYCE MUKYA ambae ni mbunge wa viti maalum Chadema.

Baada ya kuteguka hakumjulisha Mwanae aliyekuwa ndani anayeishi. Kabla ya kwenda Hospitali alipita kwa Mzazi mwenzake JOYCE na Hospitalini ilibainika alikuwa amelewa chakari kiasi cha kushindwa kutamka baadhi ya maneno. Siku anayodaiwa kushambuliwa alionekana katika maeneo ya starehe.

MY TAKE.
1. Chadema inapaswa kujitokeza hadharani kuomba radhi wananchi kwa kuwadanganya ili warudishe imani dhidi ya chama hicho
Wafanye Kama msigwa alivyoomba radhi kwa kudanganya kuhusu kinana
 
Its time for Mbowe to step down kama kiongozi,watu wamepiga kelele wee ashuke lakini kawa jeuri ona sasa aibu hii..sidhani kama wanachadema watamsamehe...by the way,mimi sioni cha ajabu alichokifanya..a man should have social life..kama ni kunywa ulabu kupindukia apatiwe msaada arudi kwenye mstari...watu wanapona alcoholisim na wanarudi kwenye shughuli zao...
 
Kwahiyo Mbowe kushindwa kutamka maneno sawasawa ndicho kipimo cha ulevi? Na kama alishindwa kwa kuwa alipigwa je?

Pia hicho kipimo walichotumia kumpima na kugundua kuwa alikuwa amelewa chakari ni kipi?

Nikiwaita Jeshi la wapumbavu nitakuwa nimekosea? Jibuni wenyewe kama hamustahili kuitwa "wapumbavu"

Nyie ni watu wazima hivyo ili mheshimiwe ni lazima muje na kitu kinachoeleweka.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 1476388
[emoji23][emoji1787][emoji2960]
IMG-20200609-WA0016.jpg
FB_IMG_15918718110569346.jpg
 
Polisi wanasema hili jambo lisifanywe la kisiasa wakati wao wanalifanya kisiasa sijui kwa maslahi ya nani?!!!!
 
Ili kuficha aibu ya Bunge na Spika lazima ripoti ingekuja hivi tu Ndugai alikuwa anampa maelezo Muroto njnsi ya kuandaa fake report
 
Back
Top Bottom