Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Hii taarifa niya mtaani.na aliyeiandaa kwenye swala la propaganda bado uwezo wake uko chini sana.na kuiamini uwe una akili pungufu.wanasema wamefanya uchunguzi wa kina na wamejiridhisha mbowe alikua kalewa chakari kwahiyo hapo wanataka tuamini mbowe aliumia mwenyewe.

Sasa hiyo taarifa inaonyesha nikama wameshahitimisha uchunguzi wao alafu tena mwishoni wanasema wanaendelea na uchunguzi nakutoa rai kwa mtu yoyote mwenye taarifa za ilo tukio wakati huo huo wanasema kelele alizopiga mbowe hata majirani hawakuzisikia.Sasa wanaendelea kuchunguza nini.Mimi sio mwerevu ila hii taarifa ni ubabaishaji full.
USIWE KAMA WAFUASI WA KIBWETELE
 
Yaani jeshi la Polisi hata kutunga hadithi nako ni shida.

1. Ukisoma utaona kuna majina mawili tofauti ya habari moja, Joyce Mukya na Joyce Nkya. Maana yake ni kuwa huu haukuwa uchunguzi bali utunzi

2. Jeshi la Polisi linasema Mbowe alipita sehemu zenye vileo. Kuonekana Bar hakuna maana mtu amekunywa.
Ulevi unaweza kupatikana katika restaurants, je ukionekana huko ina maana umelewa.

3. Aibu kubwa kwa jeshi ni pale inaposema Mbowe alilewa chakari. Jeshi la polisi halifanyi kazi kwa hisia. ''Ulevi chakari ni kitu gani katika vipimo''? Hakuna kitu kama hicho na huwezi kukitumia makalamani.
Jeshi la Polisi lilipaswa kutoa takwimu za vipimo kama hawana wakae kimya , wasijipake zaidi

4. Kwamba mtu hawezi kutamka maneno ni dalili ya ulevi.
Well, nani aliyesema hayo kutoka Hospitali?
Kwanini hawakutaja jina la Dk akliyethibitisha kutotamka vema maneno

Ukisoma habari yote ni aibu tu. Eti mashahidi hawakusikia, hivi Tundu Lisu aliposhambuliwa kulikuwa na mashahidi gani.
Mbona Jeshi la Polisi halielezi kwanini waliondolewa walinzi na kamera, eti leo limefanya uchunguzi

Jeshi la Polisi, kukaa kimya ni busara maana taarifa kama hii kwa wenye akili wanabaki wakicheka.
Hii tamthilia ni tamu sana, na dunia inazidi kutabasamu na kucheka.

Yaani taarifa inaiambia dunia nini kilitokea hakuhitajiki uchunguzi mwingine

Pascal Mayalla Mag3 JokaKuu
Mkuu Nguruvi3,
This is a shame kwa jeshi letu la polisi!.
Niliwahi kushauri hivi
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Hata hili tukio la kushambuliwa kwa Mhe. Mbowe, serikali yetu kupitia jeshi letu la polisi, tayari imeishashindwa sasa inakuja na hadithi!.

Katika shambulio la Lissu, there was an excuse, mashahidi walioshuhudia ni wawili tuu na hawapo nchini, lakini hili la Mhe. Mbowe, Mbowe mwenyewe yupo, dereva wake yupo, yule shahidi muhimu yupo, sasa polisi wetu wanakwama wapi?.

Kama vitu vidogo hivi simple na straight forward ndio wanatoa taarifa za kujiumauma hivi, what about complex issues kama shambulio la Lissu?!.

Naendelea kusisitiza sisi media tunaweza kusaidia, mwandishi yoyote wa IJ anaweza kuimaliza hii kitu in just some few munutes less than a day!.

Shame!.
P
 
Makamanda tumegomea huo upuuzi sasa!
Wakimsoma huyu wakili msomi mwenye akili zake, mtoto wa Makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais wa Zanzibar ambaye kakulia ndani ya ccm na haijui njaa kama hawa mavuvuzela, na ambaye wakati spika na mwenyekiti wa sasa wanachunga mbuzi yeye ana maisha bora pengine watamuelewa.
Screenshot_20200612-202422.jpg
 
Sisi hatutahangaika na jeshi ambalo viongozi wake ni wanaccm , Mahita , Zerothe Steven na Chagonja ni mifano halisi bali tukiingia madarakani taasisi ya kwanza kuifutilia mbali ni polisi

Mkuu Erythrocyte, tukubali kuita koleo koleo na siyo kijiko kikubwa. Mtatetea Mbowe hadi lini? Hakuna shaka hata matokeo ya uchunguzi wa TAKUKURU mtaukana! Je, wabunge wenu wataweza kusimama jukwaani kuomba kura? Yangu masikio na macho, ila naamini wengi watakihama chama.
 
Kwa mtazamo wangu,naamini mpaka sasa CHADEMA wameshakusanya taarifa za nini kilitpokea ila waliona kueleza kila kitu ingekuwa ni kuingilia uchunguzi wa Jeshi la Polisi, hivyo waliona ni busara watoe nafasi kwa Polisi kufanya kazi yao na kama maelezo ya Polisi yatakuwa tofauti na kilichotokea, basi watajitokeza kueleza kwa undani nini kilitokea na hiki ndicho binafsi nakitarajia kitatokea wakati wowote kuanzia kesho.

Kama kumbukumbu zangu ziko sahii, Mnyika alisema wakati tukio linatokea,Mbowe hakuwa peke yake bali kulikuwa na watu wengine ambao hawakuwataja hivyo naamini katika kujibu taarifa ya Jeshi la Polisi, CHADEMA watawataja waliokuwepo na pia na kama kuna ushahidi wa ziada,basi watautoa hadharani.

Naamini hata Mbowe mwenyewe atatoa maelezo ya nini hasa kilitokea.

Tusubiri.
 
Mambo ya PF3 ni ya kwake usimsemee hayo anatakiwa kujibu yeye na Joyce Mukya aliyempeleka hospital hayo hayahusu CCTV Wala wewe Ni yao

Mkuu naona unavyokwepa hoja yangu ya msingi kuhusu CCTV. Na sio kwamba unakwepa kwa bahati mbaya, bali hapo ndio siri ya urembo ilipo.
 
Kuna mwanamama ni jirani yeke Mbowe na ni mbunge, anasema hakusikia lolote hadi asubuhi na alishangaa kusikia Mbowe kashmabuliwa na anasema siku hiyo alilala saa saba
Ok, kwa hiyo hata mguu kuvunjika hakupiga kelele ya maumivu? Jamaa kweli mwamba! Au huyo mama alikuwa anapigwa pipe hivyo raha ilifanya asisikie hata kilio cha maumivu?
 
Mkuu Erythrocyte, tukubali kuita koleo koleo na siyo kijiko kikubwa. Mtatetea Mbowe hadi lini? Hakuna shaka hata matokeo ya uchunguzi wa TAKUKURU mtaukana! Je, wabunge wenu wataweza kusimama jukwaani kuomba kura? Yangu masikio na macho, ila naamini wengi watakihama chama.
Lengo la ccm ndio hilo unalolisema wewe , ilipangwa iwe hivi , lakini hii ni mipango ya kishamba , ambayo ni mtu mshamba kama wewe utaiamini , nimekueleza na labda nikueleze tena Ubalozi wa Marekani umerekodi tukio la Mbowe , na ndio maana Polisi wa Tanzania hutawasikia wakitoa picha za cctv camera
 
Mkuu naona unavyokwepa hoja yangu ya msingi kuhusu CCTV. Na sio kwamba unakwepa kwa bahati mbaya, bali hapo ndio siri ya urembo ilipo.
Unapotafuta Ushahidi huwa hauanzii third party iwe CCTV , majirani au yeyote unaanzia kwa wahusika wenyewe kwanza.Swali Kama walivamiwa kwa Nini hawakuripoti polisi kupata PF3 ? Kama taratibu zinavyotaka.Hili Ni la Kwao wao ndio mashahidi namba moja wa tukio mtape tape vipi Hilo swali lazima wajibu wao sio third party
 
Ni tabia za wanume wote duniani, , na hapa hatujamlaumu Mbowe kuwa na Nkya. Tunalaumu kutunga uongo dunia nzima ikishuhudia
Kumbe polisi siku hizi wako makini kwa uchunguzi? Ndani ya siku upelelezi tayari na unafanana kabisa na upelelezi wa Bunge
Screenshot_20200612-202422.jpg
 
Ok, kwa hiyo hata mguu kuvunjika hakupiga kelele ya maumivu? Jamaa kweli mwamba! Au huyo mama alikuwa anapigwa pipe hivyo raha ilifanya asisikie hata kilio cha maumivu?
Umepanic alafu una hasira kali mno!

Kunywa maji, kisha nenda kalale huu uzi utakufanya uteseke bure.
 
Mwenyekiti ndo huyo wafuasi wake je ?????That is why sina chama. I never trust anyone. I never put my hope on someone. Konyagi vepeeee. The devil is a lie ,wallah. Yaani michepuko kila kona,sasa adhabu inayofuata ataanguka apasuke fuvu. Sipendi wanaume wanaocheat wake zao.

Ni nani kaweka imani yake kwa mtu? Ww kuwa na chama au kutokuwa nacho is non of our business. Hakuna anayejali mahusiano binafsi ya kinyumba ya Mbowe na familia yake, maana sio kiunganishi na chama. Mbowe anakunywa hilo wala halina mjadala, hajaanza jana wala hatakaa aache. Ila hayo hayatuhusu, nadhani tukipata CCTV footage, zitaweka ukweli wote hadharani. Haya mengine ni mbwembwe tu.
 
Ila kiukweli Polisi wanatia aibu sana kwenye maelezo yao. Hivi hakuna watu wanaoweza kuandika kwa umakini na kuondoa makosa ya ajabu ajabu kama kwenye hii taarifa yao?

Look like "cooked"
 
Mkuu Nguruvi3,
This is a shame kwa jeshi letu la polisi!.
Niliwahi kushauri hivi
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Hata hili tukio la kushambuliwa kwa Mhe. Mbowe, serikali yetu kupitia jeshi letu la polisi, tayari imeishashindwa sasa inakuja na hadithi!.

Katika shambulio la Lissu, there was an excuse, mashahidi walioshuhudia ni wawili tuu na hawapo nchini, lakini hili la Mhe. Mbowe, Mbowe mwenyewe yupo, dereva wake yupo, yule shahidi muhimu yupo, sasa polisi wetu wanakwama wapi?.

Kama vitu vidogo hivi simple na straight forward ndio wanatoa taarifa za kujiumauma hivi, what about complex issues kama shambulio la Lissu?!.

Naendelea kusisitiza sisi media tunaweza kusaidia, mwandishi yoyote wa IJ anaweza kuimaliza hii kitu in just some few munutes less than a day!.

Shame!.
P
Kwa heshima zote Mkuu Paskali, kwa uzoefu wako unajua fika kuwa taarifa kwa umma kuhusu tukio lolote lile, Polisi haitoi ushahidi wote muhimu wakati upelelezi ukiendelea.

Naamini, na wewe pia, unajua kwamba Polisi wanao ushahidi wa kutosha na ndiyo maana wamejitokeza hadharani kutoa matokeo ya awali, kwa kuwa tukio zima lilianza kuchukua sura za kisiasa hadi Serikali kulaumiwa na mataifa ya nje.
 
Lengo la ccm ndio hilo unalolisema wewe , ilipangwa iwe hivi , lakini hii ni mipango ya kishamba , ambayo ni mtu mshamba kama wewe utaiamini , nimekueleza na labda nikueleze tena Ubalozi wa Marekani umerekodi tukio la Mbowe , na ndio maana Polisi wa Tanzania hutawasikia wakitoa picha za cctv camera
Ubalozi wa marekani umerekodi tukio la mbowe?
nyie watu kwa kweli mnawehuka. Hivi unaaminishwaje kitu kama hiki na mtu unayedai una akili unaamini?
Jamaa kalewa chakali kaanguka na kavunjika mguu, na hapa hapati huruma ya watanzania wengi wenye akili, anachinjwa kama kawaida na shingo yake tayari iko kibra...
 
Mkuu naona unavyokwepa hoja yangu ya msingi kuhusu CCTV. Na sio kwamba unakwepa kwa bahati mbaya, bali hapo ndio siri ya urembo ilipo.
Mimi nafikiri kwanza tujue Kama nyumbani kwa Mbowe kuna CCTV? Je ziko nnje au Ndani? Kama zipo ni nani anazisimamia na kufuatilia?
Baada ya maswali hayo kujibiwa ndipo tuje na hoja ya kuomba CCTV footage Kama zipo na Kama hazipo basi hoja yako inakua Imeishia hapo.
Kwahiyo hapa ungeuliza tu Kama nyumbani kwa Chairman kuna CCTV ama la!
 
Back
Top Bottom