Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Aibu hii[emoji23][emoji1787][emoji2960]View attachment 1476426View attachment 1476427
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu hii[emoji23][emoji1787][emoji2960]View attachment 1476426View attachment 1476427
CCTV haziwezi kutolewa zitazua swali jingine, zile za TL zipo wapi?. Sasa ili wote tupate ukweli, tuwekewe ukweli wa kile kilichoko kwenye CCTV cameras. Hapa mchezo utaisha kwa haraka sana. Kinyume na hapo ni porojo.
Support ya nini? Jambo la muhimu ujumbe uingie. Kwani lazima uchangie? Na sasa mna kipindi kigumu sana.Bora uhame mapema.Comrade ngoja nami nichangie uzi wako kukupa support
Inaonekana Joyce Mkuya ni mtamu sana kuliko mke wa ndoa Lilian Mbowe, maana kila janga lazima ahusishwe
Hii inahusiana nini na mlevi kuvunja kisigino na kusingizia amekanyagwakanyagwa? Ahaaaaa.Mwl akamwita mkapa msasan...mkapa akaenda akiwa amelewa chakali..akamkuta mwl akiwa amepumzika...mwl akapelelekewa taarifabkuwa mh yuko hapa..mwl akashuka akitokea chumban..kabla hajashuka ngaz zote alitupa jicho kwa mkapa na akamuona mkapa akiwa amelewa chakari..mwl hakuongea akarud chumban nakusema hawez kuongea na mlevi..mkapa akaondoka
Utamu wake ndio unasababisha aibu kubwa kwa chama chetu? Sasa hatuna cha kuongea tena.Inaonekana Joyce Mkuya ni mtamu sana kuliko mke wa ndoa Lilian Mbowe, maana kila janga lazima ahusishwe
Just go with a technologies? Bora uwe unaandika kiswahili tu. Alafu kwa akili yako kati ya ushahidi wa binadamu na Cctv video footage upi una nguvu mahakani? Maana Cctv video footage lazima wataalamu waje wathibitishe kitalaamu kama kweli mlevi anadondoka. Binadamu mwenye akili timamu ana sense kwa sensory organs na anatoa direct evidence.Kama hawakusikia mtu akishambuliwa Cctv ndio zitarekodi?Ndugu zangu polisi just simple and cleal fungueni CCTV camera ZA nyumba ya Mbowe over.
Ni jambo la aibu polisi unatoa matokeao ya uchunguzi wako alafu unasema kama kuna mtu Ana taarifa akupe ulizo toa wewe nu USHUZI?.
Ni aibu wewe mtaalamu wetu unasema tukio bado mnalichuguza unachunguza nini wakti umeisha toa taarifa?
Usiingilie uhuru wa watu kutoa maoni yao. Ni kinyume cha katiba ya JMT. Umetumwa na Bakita kuangalia maudhui humu JF?Kwakuwa hii id imerudi, ngoja nione ile ya idugunde itakaa hapa jukwaani kwa muda gani, na itakuwa na maudhui ya aina gani kufananisha na hii.
Cc:Idugunde
Hahahaa "simple and cleal" ! Huyu mbwiga ndo anamtetea Mbowe.Duh, "with a technologies", ha ha ha.
Jirani yake ni KitwangaKwa hiyo ulitaka waseme kapigwa hata hajapigwa. Kama unahakika kapigwa unaweza kuthibitishia umma pia. Maana hao majirani hawawezi kudanganya.