Ile video imerushwa na yule kijanaaaa, km alikua na cm kubwaa, ila yule basha anaonekana ni kijanaa mdogoo tyuuh.Nimeiona video. Mwonekano wa video unaonyesha afande alijirekodi mwenye "selfie rcording" huku akiwa anakata mauno na akijunja kunja sura labda kuashiria maumivu flani hivi. Imarushwa na nani mtandaoni labda hilo ndo swali
Wanamlinda mwigulu na wapuuzi wenzie. Walamba asali waendelee kulamba πππΎHii habari ya tangu mwaka jana, leo ndo wanaipa kiki kuna nini nyuma yake?
Yaan noumaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Serikal huwa inachekesha sana
Mkuu yaani GINUWINE yule mwanamuzi kumbe naye anahusika.Katika mizani ya kisheria, EVIDENCE ACT , Video pekee ya mitandaoni haiwez kuwa ushahidi tosha wa kumtia mtu hatiani, lazima uchunguzi ufanyike na video ithibitishwe kama ni GINUWINE, na wahusika wahojiwe ikiwemo mashahidi na ushahidi mwingine plus vielelezo viwe "BEYOND REASONABLE DOUBTS"
Wanacheki kama ni gari ya engine nyuma....znz kumejaa gari za engine nyuma kibao ndio mana waitaliano wamejaa hukoWanapima nini wakati video imesambaa na ni ushahidi tosha
Ngumu kumesaToo hard to swallow
Inabidi utueleze unayo yajuaYamo mengi sana mle na magereza
Wanachunguzaje sasa πKamishna Hamad alitaja sababu tatu za kutokukubaliana na tendo hilo ndani ya polisi; kinyume cha sheria, maadili na linalomwondolea ukakamavu askari.
Kutokana na mkasa huo, Kamishna Hamad aliyeonekana kukereka nalo, aliiambia Nipashe kwamba ofisi yake ina mpango maalum wa kuwasaka askari wake wote wenye hulka na kujihusisha na matendo ya aina hiyo.
"Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kadhia hiyo ikiwamo kufanyiwa kipimo askari huyo ili kujiridhisha kama kweli anafanya kitendo hicho... ingawa tumeona video katika mitandao ya kijamii lakini hatuwezi kusema moja kwa moja kama ni kweli au sio kweli," alifafanua.
Alisisitiza kwamba, kanuni na mwenendo wa kisheria za jeshi hilo haziruhusu mapenzi ya jinsia moja, na madai hayo yakithibitika, atafikishwa kwenye mahakama ya kijeshi na hatua nyinginezo.
Kamishna Hamad alisema askari anapokuwa shoga, hukosa uaminifu na ukakamavu katika jukumu lake la msingi la kulinda raia na mali zao.
"Hatufai na atashindwa kufanya kazi za polisi, na hata heshima kwa jamii haitakuwapo. Kama unamtuma askari polisi wa aina hii akamkamate mhalifu, akifika huko anaweza hata akaguswa (...). Sasa heshima iko wapi kwa Jeshi la Polisi?" alilalamika katika kauli ya kukereka.
Aliendelea: "Huu si utamaduni wa Jeshi la Polisi na wala hakutumwa hivyo. Matendo ya mtu binafsi lazima yatafautishwe na taasisi.
"Hata hizo picha zinazosambaa hazionyeshi kuwa amevaa sare za polisi au kufanya kitendo hicho kwenye kituo cha polisi, hivyo isitafsiriwe kuwa Jeshi la Polisi ndio limefanya."
Akizungumzia mikakati ya jeshi hilo katika kukomesha ushoga ndani ya Polisi Zanzibar, Kamishna Hamad aliwataka askari wote wenye mwenendo wa aina hiyo, wajisalimishe kwenye uongozi ili warekebishwe waendane na utamaduni wa jeshi hilo.
"Lengo sio kuwafukuza kazi, bali ni kuwarekebisha, kwa sababu huwezi kujua anafanya vitendo hivyo kwa sababu gani. Inawezekana alishafanyiwa kitendo hicho tokea utotoni na hawezi kujitetea na anaendelea kujizuru," alifafanua.
Kuhusu namna ya kuwatambua wenye tabia hiyo, alisema taratibu za polisi wakati wa kuajiri hazihusishi utambuzi wa tabia za ushoga kwa mwajiriwa bali hupimwa afya zao kwa ujumla.
Pia alisema Jeshi la Polisi lina taratibu na sheria zake ambazo zimeainisha makosa yote ambayo askari wa jeshi hilo hapaswi kufanya pamoja na hukumu zake endapo atafanya makosa hayo.
"Humu ndani ya kitabu hiki (sheria za polisi) kuna utaratibu mzima wa jeshi umewekwa. Kwa hivyo, askari anayefanya makosa ambayo yameainishwa humu ikiwamo hayo ya kufanya mapenzi ya jinsia moja, kuna mahakama za kijeshi na hukumu zimewekwa," alisema
Chanzo: Nipashe
---
Kwa jinsi alivyoifedhehesha Jamhuri leo asubuhi mlitakiwa mtupe ukweli
Pia soma
- Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?