Jeshi la Polisi kuchunguza Askari anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Jeshi la Polisi kuchunguza Askari anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Yule mzoefu maama vidio tatu tofauti ana shida yule
Mshenzi mshenzi tu Yaani sijui hata anajiskiaje dahh
Na Zaznibar Utalii ndo unasababisha iwe ngumu hiyo michezo kutoisha
 
Kwa ufahamu wangu hapo kinachofanyiwa kazi ni ile video clip kwanza kama sio editing na vitu kama hivyo. Ikishabainika kuwa ni video halisi ndio sasa taratibu zingine za kisheria zitaendelea.

Moja ya changamoto itakayofanya wachelewe zaidi ni chanzo cha video husika hapo kuna watu au chain ya watu itaingia, na hao watajikuta wana hatia chini ya Sheria ya Makosa ya kimtandao, kusambaza picha chafu

Wakiwahi Mahakamani iwe ya kijeshi au kiraia wataaibika na hilo wanalijua. Anaweza kuikataa mwanzo mwisho hiyo video hadi watakapothibitisha kuwa hiyo video sio bandia ni halisi. Na hapo ndio hadi kifaa kilichotumika kurekodi kitahitajika. (Pagumu hapo)

Changamoto nyingine ni huu mtego Polisi na Ofisi ya DPP wanabidi kuwa makini sana, hili swala linaweza likatuingiza kwenye mtego kama Kenya sababu yanaweza kuibuka masuala ya haki za binadamu, kesi hii itasimama ikisubiri maamuzi ya Mahakama Kuu, ambayo sasa akipata wakili mzuri Ibara ya 13(5) ya Katiba ni ngumu kumeza.

Inaweza ikatengeneza sheria ya hovyo zaidi.

Hapa chakufanyikani kumalizana naye kimya kimya kwa makosa tofauti na hili swala la ushoga ili hata asiporidhikaakaenda Mahakamani asipate au asipenyeze swala la ushoga kujadiliwa na Mahakama Kuu.

Ushoga kujadiliwa na Mahakama Kuu ni hatarikwa afya ya taifa, tufahamu kuwa sheria zetu zipo 50/50 kwenye hili swala itategemea presha ya nje, hoja za utetezi, hojaza upingaji na msimamo wa Mahakama juu ya sheria na haki za binadamu.

Ifahamike Jajianaweza kuwa anapinga vikali sana haya mambo ya ushoga lakini akatoa maamuzi/tafsiri ya sheria tofauti kabisa na msimamo wake binafsi kwakuwa hapo atakuwa ni Jaji na sio yeye binafsi.

Hil jambo ni mtego sana, tukikurupuka itatu cost
Atafukuzwa kazi, Jeshini hakuna LONGOLONGO hizo usemazo
 
ikitokea Mpimaji ni baradhuli atakuja na majibu kuwa Jamaa ni bikra baada ya kumpima kisawa sawa kujiridhisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu lol
 
Kwa ufahamu wangu hapo kinachofanyiwa kazi ni ile video clip kwanza kama sio editing na vitu kama hivyo. Ikishabainika kuwa ni video halisi ndio sasa taratibu zingine za kisheria zitaendelea.

Moja ya changamoto itakayofanya wachelewe zaidi ni chanzo cha video husika hapo kuna watu au chain ya watu itaingia, na hao watajikuta wana hatia chini ya Sheria ya Makosa ya kimtandao, kusambaza picha chafu

Wakiwahi Mahakamani iwe ya kijeshi au kiraia wataaibika na hilo wanalijua. Anaweza kuikataa mwanzo mwisho hiyo video hadi watakapothibitisha kuwa hiyo video sio bandia ni halisi. Na hapo ndio hadi kifaa kilichotumika kurekodi kitahitajika. (Pagumu hapo)

Changamoto nyingine ni huu mtego Polisi na Ofisi ya DPP wanabidi kuwa makini sana, hili swala linaweza likatuingiza kwenye mtego kama Kenya sababu yanaweza kuibuka masuala ya haki za binadamu, kesi hii itasimama ikisubiri maamuzi ya Mahakama Kuu, ambayo sasa akipata wakili mzuri Ibara ya 13(5) ya Katiba ni ngumu kumeza.

Inaweza ikatengeneza sheria ya hovyo zaidi.

Hapa chakufanyikani kumalizana naye kimya kimya kwa makosa tofauti na hili swala la ushoga ili hata asiporidhikaakaenda Mahakamani asipate au asipenyeze swala la ushoga kujadiliwa na Mahakama Kuu.

Ushoga kujadiliwa na Mahakama Kuu ni hatarikwa afya ya taifa, tufahamu kuwa sheria zetu zipo 50/50 kwenye hili swala itategemea presha ya nje, hoja za utetezi, hojaza upingaji na msimamo wa Mahakama juu ya sheria na haki za binadamu.

Ifahamike Jajianaweza kuwa anapinga vikali sana haya mambo ya ushoga lakini akatoa maamuzi/tafsiri ya sheria tofauti kabisa na msimamo wake binafsi kwakuwa hapo atakuwa ni Jaji na sio yeye binafsi.

Hil jambo ni mtego sana, tukikurupuka itatu cost
Ahsanteeee umesha maliza wee, mie siandiki tena.
 
Ukowa masikini unakuwa huna kauli thabiti hii yote sijuii tumpime tena , sijui tuwarekebishe sio kuwafukuza.. ni kutoka na nchi kutegemea misaada kutoka kwa wapiga debe wa ushoga..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan mnanichekeshaa hadi baas.
 
Kamishna kasema kwenye video askari alifanya hayo akiwa hajavaa sare za jeshi kwa hiyo hayo ni mambo yake binafsi lisihusishwe jeshi,

Ameongezea pia wengine wenye tabia hizo wajitokeze lengo sio kufukuzwa kazi bali kusaidiwa waache sababu huenda walifanyiwa hayo wakiwa wadogo na hadi sasa wanaendelea kujizuru.
Kanifurahishaaa hapoo tyuuh.
Hallah [emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
 
Kuna cha kuchunguza kipi pale zaidi ya ile video? Wanatarajia watamkuta na marinda? Yule ni bwabwa aliekubuhu, wakichunguza sawa sawa itakuwa anavaa mpaka diapers maana sidhani kama kuna nut yeyote inashika huko nyuma.

Yani sura mpaka maungo yanaonekana akirembua jicho na nyingine aliyokuwa kitandani anajimanua bado wanataka kuchunguza.

Yule mpuuzi kavuka kiwango cha kufanyia fair dismissal. Yani hakuna cha kufuata sheria ni kumtimua kazi na kumpeleka gerezani wakamfanye vizuri huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna hasira na miili ya watu khaaaah.
 
[emoji1787]afande ana hofu kutuma askari shoga akamkamate Raia,akifika amkute Raia yupo uchi katokq kuoga askari atakazwa[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nimechekaaaaa hadi watu wananishangaaa, yaan nacheka km chizi mpyaaa. Lol
 
Mwenye Hiyo video anipemo Jamani 😂😂maana niliishiwa kuadithiwa nikachekaa sana
 
Kuhusu namna ya kuwatambua wenye tabia hiyo, alisema taratibu za polisi wakati wa kuajiri hazihusishi utambuzi wa tabia za ushoga kwa mwajiriwa bali hupimwa afya zao kwa ujumla.

Hakupitia JKT huyu mshkaji?! Kama alipitia kule si huwa wanapigwa tochi kukaguliwa rasa?? Alipitaje alipitaje mpaka kufikia hatua ya kuajiriwa kabisa?!
Intake zingne hawakagui, sijui lakini, ila kwa Mujibu wale 4m 6, intake ya mwsho mara nyingi hawakaguliwi.
 
Wakimaliza kwa jeshi la polisi wahamie kwa ma lecturers wengi wao wanakula wanafunzi wao wa kiume na wengine wanaliwa
Hivi ni kweli?? Najuaga ni utani tyuuh.lol
 
Mungu aturehemu kwa kweli ni ngumu kuamini ila tuombe sana ni siku za mwisho zimekaribia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana ukatikia hata sisi hatumfikii, jinsi anavyo ulilia sasa?? Alivyo ukalia na anajipimia mwenyewee
Lol
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeiona video. Mwonekano wa video unaonyesha afande alijirekodi mwenye "selfie recording" huku akiwa anakata mauno na akijunja kunja sura labda kuashiria maumivu flani hivi. Alikua ameikalia so alikua anajirecod kutokea mbele. Imerushwa na nani mtandaoni labda hilo ndo swali
 
Back
Top Bottom