Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Hilo jambo ni kawaida zenji hakuna tatzo ndio hali ya vijana wao wote...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muigizaji maarufu jijini Dar es Salaam ameitaka Serikali ya mama Samia na Dk Mwinyi kufanya kila wawezalo na kumchukulia hatua Kali Askari aliyechafua hali ya hewa na video yake chafu.
Amber Rutty ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na tv mitandao Leo ijumaa. Amber Rutty amedai hii tabia ya watu kuvujisha picha mbaya mitandaoni inaharibu kizazi na Ni hatari kwa watoto wetu, na ameomba Sheria kali kuchukuliwa ili iwe funzo kwa watu wengine wwnye tabia mbaya Kama hizo.
Kwa hili naungana kabisa na dada Amber.
Mkuu omba tu MUNGU. Sikatai kwamba ile video ni kweli au la ila lazima jeshi la POLISi kuthibitisha. Ilipofika teknolojia ni mbali SANA.lazima jeshi la POLISi wajithibitishie. Kuna kesi mtu anaonekana anaua kabisa kashika bunduki lakini uchunguzi ukifanyika inaonekana si yeye achana na hayo mambo huyo kamanda kaongea sahihi kabisaWanapima nini wakati video imesambaa na ni ushahidi tosha
Muigizaji maarufu jijini Dar es Salaam ameitaka Serikali ya mama Samia na Dk Mwinyi kufanya kila wawezalo na kumchukulia hatua Kali Askari aliyechafua hali ya hewa na video yake chafu.
Amber Rutty ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na tv mitandao Leo ijumaa. Amber Rutty amedai hii tabia ya watu kuvujisha picha mbaya mitandaoni inaharibu kizazi na Ni hatari kwa watoto wetu, na ameomba Sheria kali kuchukuliwa ili iwe funzo kwa watu wengine wwnye tabia mbaya Kama hizo.
Kwa hili naungana kabisa na dada Amber.
Kwanza mnarekod ili iweje??... yuko sahihi; ukizingatia yeye ni mhanga wa haya mambo. Iwe kosa kuvujisha mambo ya faragha mitandaoni; upuuzi wenu wa chumbani malizaneni huko huko na sio kuleta uchafu public.
Sasa ithibitike nini, Yule hata Uchunguzi haitajiki ni kufukuzwa afu anadakwa lupango nyampara wakamgeuze mke wao si anataka afu kuna watu mwaka wa 18 huu hawajawahi pata toboIkithibitika afukuzwe tu kazi hafai,
Kama ameshindwa kulinda kalio lake ataweza kulinda wananchi na mali zao?
Imeleak lini!??Hii habari ya tangu mwaka jana, leo ndo wanaipa kiki kuna nini nyuma yake?
....ikiwemo kufanyiwa kipimo kujiridhisha kama anafanya kitendo hicho
Mkuu,mambo ya sheria yana taratibu zake,na ndio maana mfano kibaka ameonekana kabisa kua kaiba ila hufikishwa Mahakamani ili hukumu itolewe na Court of law kwa vivid evidence.Sasa ithibitike nini, Yule hata Uchunguzi haitajiki ni kufukuzwa afu anadakwa lupango nyampara wakamgeuze mke wao si anataka afu kuna watu mwaka wa 18 huu hawajawahi pata tobo
Sasa Tanzania kuna FBI?Yaani Kamanda Hamadi anaambiwa kuna shoga katika internet ambaye inadaiwa ni askari wetu hawezi kutoa amri,akasema,"Mtafute huyu mtu. Nataka ripoti kesho asubuhi."
Badala yake anasema yuko mbioni kufanya upelelezi.
FBI ukiwapa jina,ukiwapa picha ya mshukiwa,watazama katika records zao dakika tano tu wanakupa jibu.
Kuna issues za kufata sheria ila sio ufirauni kabisa!!Mkuu,mambo ya sheria yana taratibu zake,na ndio maana mfano kibaka ameonekana kabisa kua kaiba ila hufikishwa Mahakamani ili hukumu itolewe na Court of law kwa vivid evidence.