fh kwenye beat
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 493
- 608
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... yuko sahihi; ukizingatia yeye ni mhanga wa haya mambo. Iwe kosa kuvujisha mambo ya faragha mitandaoni; upuuzi wenu wa chumbani malizaneni huko huko na sio kuleta uchafu public.Muigizaji maarufu jijini Dar es Salaam ameitaka Serikali ya mama Samia na Dk Mwinyi kufanya kila wawezalo na kumchukulia hatua Kali Askari aliyechafua hali ya hewa na video yake chafu.
Amber Rutty ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na tv mitandao Leo ijumaa.
Amber Rutty amedai hii tabia ya watu kuvujisha picha mbaya mitandaoni inaharibu kizazi na Ni hatari kwa watoto wetu, na ameomba Sheria kali kuchukuliwa ili iwe funzo kwa watu wengine wwnye tabia mbaya Kama hizo.
Kwa hili naungana kabisa na dada Amber.
Mkuu, nasema hivi "ikikupendeza nione kakideo hata kwa mbali... "Wanapima nini wakati video imesambaa na ni ushahidi tosha
Mkuu katika mizani ya Kisheria , VIDEO siyo ushahidi kamili.Wanapima nini wakati video imesambaa na ni ushahidi tosha
Ghafla haoni kunguleMuigizaji maarufu jijini Dar es Salaam ameitaka Serikali ya mama Samia na Dk Mwinyi kufanya kila wawezalo na kumchukulia hatua Kali Askari aliyechafua hali ya hewa na video yake chafu.
Amber Rutty ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na tv mitandao Leo ijumaa. Amber Rutty amedai hii tabia ya watu kuvujisha picha mbaya mitandaoni inaharibu kizazi na Ni hatari kwa watoto wetu, na ameomba Sheria kali kuchukuliwa ili iwe funzo kwa watu wengine wwnye tabia mbaya Kama hizo.
Kwa hili naungana kabisa na dada Amber.
Katika mizani ya kisheria, EVIDENCE ACT , Video pekee ya mitandaoni haiwez kuwa ushahidi tosha wa kumtia mtu hatiani, lazima uchunguzi ufanyike na video ithibitishwe kama ni GINUWINE, na wahusika wahojiwe ikiwemo mashahidi na ushahidi mwingine plus vielelezo viwe "BEYOND REASONABLE DOUBTS"Wanapima nini wakati video imesambaa na ni ushahidi tosha
mOVIE NGAPI UNAONA MTU ANACHOMWA KISU NA ANAKUFA ?Kwan video hawaon mpaka wajidhibitie aje 😂😂😂😂😂
Wana la kusema mavi yametokea kwao?Baraza la maulamaa lipo kimya sana shida nini quran haina muongozo?
Ukowa masikini unakuwa huna kauli thabiti hii yote sijuii tumpime tena , sijui tuwarekebishe sio kuwafukuza.. ni kutoka na nchi kutegemea misaada kutoka kwa wapiga debe wa ushoga..Kamishna Hamad alitaja sababu tatu za kutokukubaliana na tendo hilo ndani ya polisi; kinyume cha sheria, maadili na linalomwondolea ukakamavu askari.
Kutokana na mkasa huo, Kamishna Hamad aliyeonekana kukereka nalo, aliiambia Nipashe kwamba ofisi yake ina mpango maalum wa kuwasaka askari wake wote wenye hulka na kujihusisha na matendo ya aina hiyo.
"Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kadhia hiyo ikiwamo kufanyiwa kipimo askari huyo ili kujiridhisha kama kweli anafanya kitendo hicho... ingawa tumeona video katika mitandao ya kijamii lakini hatuwezi kusema moja kwa moja kama ni kweli au sio kweli," alifafanua.
Alisisitiza kwamba, kanuni na mwenendo wa kisheria za jeshi hilo haziruhusu mapenzi ya jinsia moja, na madai hayo yakithibitika, atafikishwa kwenye mahakama ya kijeshi na hatua nyinginezo.
Kamishna Hamad alisema askari anapokuwa shoga, hukosa uaminifu na ukakamavu katika jukumu lake la msingi la kulinda raia na mali zao.
"Hatufai na atashindwa kufanya kazi za polisi, na hata heshima kwa jamii haitakuwapo. Kama unamtuma askari polisi wa aina hii akamkamate mhalifu, akifika huko anaweza hata akaguswa (...). Sasa heshima iko wapi kwa Jeshi la Polisi?" alilalamika katika kauli ya kukereka.
Aliendelea: "Huu si utamaduni wa Jeshi la Polisi na wala hakutumwa hivyo. Matendo ya mtu binafsi lazima yatafautishwe na taasisi.
"Hata hizo picha zinazosambaa hazionyeshi kuwa amevaa sare za polisi au kufanya kitendo hicho kwenye kituo cha polisi, hivyo isitafsiriwe kuwa Jeshi la Polisi ndio limefanya."
Akizungumzia mikakati ya jeshi hilo katika kukomesha ushoga ndani ya Polisi Zanzibar, Kamishna Hamad aliwataka askari wote wenye mwenendo wa aina hiyo, wajisalimishe kwenye uongozi ili warekebishwe waendane na utamaduni wa jeshi hilo.
"Lengo sio kuwafukuza kazi, bali ni kuwarekebisha, kwa sababu huwezi kujua anafanya vitendo hivyo kwa sababu gani. Inawezekana alishafanyiwa kitendo hicho tokea utotoni na hawezi kujitetea na anaendelea kujizuru," alifafanua.
Kuhusu namna ya kuwatambua wenye tabia hiyo, alisema taratibu za polisi wakati wa kuajiri hazihusishi utambuzi wa tabia za ushoga kwa mwajiriwa bali hupimwa afya zao kwa ujumla.
Pia alisema Jeshi la Polisi lina taratibu na sheria zake ambazo zimeainisha makosa yote ambayo askari wa jeshi hilo hapaswi kufanya pamoja na hukumu zake endapo atafanya makosa hayo.
"Humu ndani ya kitabu hiki (sheria za polisi) kuna utaratibu mzima wa jeshi umewekwa. Kwa hivyo, askari anayefanya makosa ambayo yameainishwa humu ikiwamo hayo ya kufanya mapenzi ya jinsia moja, kuna mahakama za kijeshi na hukumu zimewekwa," alisema
Chanzo: Nipashe
---
Kwa jinsi alivyoifedhehesha Jamhuri leo asubuhi mlitakiwa mtupe ukweli
Pia soma
- Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?
Mkuu, nasema hivi "ikikupendeza nione kakideo hata kwa mbali... "
[emoji28][emoji28][emoji28]Kweli mchawi mpe mtoto akulelee