Tetesi: Jeshi la Polisi kuzuia kikao cha baraza kuu la CUF

Status
Not open for further replies.
Hebu acha kuandika pumba humu! Aliyetumwa na Mungu KAMWE hawezi kuwa nduli kama hivi.

Asante. Lakini sisi tutaendelea kumuombea mtukufu aliyetumwa na Mungu kuwanyoosha watanzania .
 
Lazima anyooshwe ajue kuwa kiongozi mzuri ni Yule ambaye hufanya maamuzi na mazuri kwa speed. Ya lipumba kayataka yeye aliamua kumuweka kaimu Mwenyekiti kwa mwaka mzima ili awe anamuendesha. Angefanya maamuzi sahihi na ya haraka sasa hivi tungekuwa tumemsahau pro pesa.
 
Hebu acha kuandika pumba humu! Aliyetumwa na Mungu KAMWE hawezi kuwa nduli kama hivi.

Lakini ndugu mbona unaniita mpumbavu kwani si kila mmoja na uelewa wake na Hili ni jukwaa huru la demokrasia. Hebu jifunze kuheshimu mawazo ya wenzako.
 
Baraza za CUF linaitishwa na Mwenyekiti wa CUF siyo Katibu Mkuu na wala Makao Makuu ya CUF hayo Unguja yako Buguruni, Dar es Salaam. Wewe mbeba mabox huwezi jua ya TZ waachie wanaCUF wenyewe!!
Makao makuu ya cuf ni zenji

Pale buguruni ni head office tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, katiba ya CUF ina kifungu kingine ambacho kinaathiri hicho cha 80 (1) ambacho kinampa mamlaka mwenyekiti kuidhinisha mkutano wa baraza kuu?
 
Wewe kama unaandika pumba lazima uambiwe ukweli. Hii dhana yako potofu ya katumwa na Mungu uliipata wapi wewe!? Ni Mungu yupi huyu anapenda viunbe vyake watishwe kila kukicha na kupandikiziwa chuki miongoni mwao badala ya upendo!?

Lakini ndugu mbona unaniita mpumbavu kwani si kila mmoja na uelewa wake na Hili ni jukwaa huru la demokrasia. Hebu jifunze kuheshimu mawazo ya wenzako.
 
Wewe kama unaandika pumba lazima uambiwe ukweli. Hii dhana yako ya huyo dikteta uchwara katumwa na Mungu uliipata wapi wewe!? Ni Mungu yupi huyu anapenda viunbe vyake watishwe kila kukicha na kupandikiziwa chuki miongoni mwao badala ya upendo!?
Lakini si mwenyewe ndio anavyosema kuwa Katumwa na Mungu. Na pili ikiwa Mimi unaniita mpumbavu basi unakubaliana na maneno ya mzee mkapa? Maana Mimi napenda hoja si kashfa.
 
Kwa hiyo kwa sababu yeye kasema basi na wewe umemuamini kwamba kweli katumwa na Mungu kuja kuwanyanyasa wanadamu wenzie waishi kwa hofu kubwa ya kuogopa hata kuongea mustakabali wa nchi yao au kumkosoa anapofanya madudu na pia kuwapoteza binadamu wenzie kama vile yeye ni Mungu! Ben Saanane huu mwezi wa 10 hajulikani aliko kule Kilwa waislamu 10 wanevamiwa kwenye nyumba yao ya ibada hawajulikani walipo na huyo aliyetumwa na Mungu yuko kimya kabisa!

Lakini si mwenyewe ndio anavyosema kuwa Katumwa na Mungu. Na pili ikiwa Mimi unaniita mpumbavu basi unakubaliana na maneno ya mzee mkapa? Maana Mimi napenda hoja si kashfa.
 
Kwani hujui wanautumwa na Mungu si
Mpaka malaika waweletee ujumbe ndio wafanye maamuzi. Ujumbe alioletewa mtukufu kutoka kwa Mungu hivi sasa ni haya tunayoyaona. Sasa kuhusu hao masheikh subiri Mungu amtume malaika ili mtukufu ajue atawasaidia hivyo. Hata mitume hawakufanya maamuzi ya papara.
 
Wanaotumwa na Mungu hawana tabia za ajabu kama huyu fisadi, mwizi, muongo na dikteta uchwara. Na uache kuamini watu hovyo hovyo lazima upime maneno yao na matendo yao kwa kina kabla ya kuamini wasemacho. Wahenga walisema akili ya kuambiwa jiongeze/changanya na akili yako.

Mwenyekiti wa CUF si ni Ibrahim H. Lipumba? hakuna kibaya hapo kama hawakumshirikisha kufanya hicho kikao. Ni muhimu mamlaka iheshimiwe. Bila kuheshimu mamlaka hakuna maana ya siasa.
Si kama hawakumshirikisha, sema kama hawajavunja taratibu ya katiba ya CUF
 
KATIBA ZA VYAMA KWA MAAMUZI HARARI YANARUHUSU E-BUSINESS, Yaani mikutano ya kimtandao!
 
Propesa LIPUMBAVU

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Mimi Nitajua uwongo na ukweli 2020
 
P
Mwenyekiti wa CUF si ni Ibrahim H. Lipumba? hakuna kibaya hapo kama hawakumshirikisha kufanya hicho kikao. Ni muhimu mamlaka iheshimiwe. Bila kuheshimu mamlaka hakuna maana ya siasa.
Pointi ya msingi sana hiyo, kikao chochote lazima kipate baraka za Mwenyekiti kabla ya kuitishwa iweje Maalim aitishe kikao bila baraka za Mwenyekiti?
 
Na huu ukweli chungu nzima wa miaka zaidi ya 20 ya huyu dikteta uchwara kuwepo Serikalini na kufikia hadi kuandikwa kwenye ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali ikiwemo kuwa muongo, fisadi na mwizi unaupotezea!

Mimi Nitajua uwongo na ukweli 2020
 
Na huu ukweli chungu nzima wa miaka zaidi ya 20 ya huyu dikteta uchwara kuwepo Serikalini na kufikia hadi kuandikwa kwenye ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali ikiwemo kuwa muongo, fisadi na mwizi unaupotezea!
Hata Lowassa tulisema hivyo Lakini sasa tushamsafisha. Siku hizi nimejifunza kuwa Bila tuhuma kuthibitishwa na mahakama ni uwongo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…