Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake


Hivi tumekwishasahau tuna Jeshi la Polisi la namna gani?

Kuna mstari mwembamba sana wa kuwatenganisha majambazi na polisi wa Tanzania.

Nani waliwaua wafanyabiashara wa madini, na kisha kupora pesa zao?

Nani walimwua yule mfanyabiashara ndugu yake PM kule Mtwara, na kisha kumpora pesa zao?

Tuna Jeshi la polisi lililojaa majambazi.
 
Gharama tu zizizo na tija kwa kesi za kijinga, Kodi ya mtanzania sijui Ina laana Gani maana inatumika kwa mambo ya kijinga sana
The thing is, who cares !!!?? Otherwise it shouldn't have been that way !!
 
Malisa ni mpuuzi tu ndugu... Kalewa sifa
 

Unadhani naandika sijafikiri?

Nampongeza sana Kamanda Murillo Hawa wapuuzi wanadhani ushujaaa ni kuzusha upuuzi Kila siku
 
Ni kweli kama alivyosema Wakili Msomi, Peter Kibatala, "we need a Police, to Police the Police"
 
Bonifasi Jacob ni hazina kwa taifa kwa macho ya nyama.

Bonifasi Jacob ni mwanaCCM damu kwa macho ya rohoni,mimi sijalewa nipo timamu CCM ni chama ambacho kina mbinu nyingi za kucheza na wapinzani wa nchi hii
Unamainisha hapa Boni katumiwa ili kumnasa Malisa??
 
Nchi yetu bado ipo kwenye fikra potevu kwa kudhania kwamba sisi watanzania bado tupo vile vile siku zote.

Hii nchi ina wasomi wengi lakini hawajitambui kabisa maana ndo maana inaendeshwa kipumbavu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena huyo pipa wambinye sana zile golori aseme ukweli, unaweza kuta wao ndiyi walimgonga
 
Kukamata sawa lakini Kwa Nini muibe na mayai ya kuku?.polisi mjitathimini.leo majirani wa Bonifasi mmetufanya tushinde njaa maana tumezoea kula mayai
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jaman,wamechukua mayai kweli aisee police watu wa ajabu sana.
 
Sijawahi kuona jeshi la polisi lenye akili za kiquma, kitutusa na kizombi kama hili la Tanzania. Nguvu hizi walipaswa wazielekeze kwenye upelelezi wa kufahamu polisi waliomuua Mushi ni akina nani badala ya kuwaficha na kuanza kuleta sarkasiza kupoteza muda.

Anyway, Mungu ni hakimu mzuri. Hata yule polisi aliyemuua Mwangosi sasa hivi amegeuka chizi kama adhabu kutoka kwa Mungu. Hawawezi kumuua kijana asiyekuwa na hatia na kuwaacha mke na watoto wake wanatseka, halafu Mungu akawaacha salama.
 
Bonifasi Jacob ni hazina kwa taifa kwa macho ya nyama.

Bonifasi Jacob ni mwanaCCM damu kwa macho ya rohoni,mimi sijalewa nipo timamu CCM ni chama ambacho kina mbinu nyingi za kucheza na wapinzani wa nchi hii
Utakuwa unaumwa mafindofindo ya ubongo
 
Hakuna kazi ngumu dunia kama kupambana na jinai au uhalofu wowote.

Nadhani ndiyo SHUGHULI ambayo inafanya watu waonekane wajinga na wasiofa katika jamii au taifa

Mahakama ndio shughuli nyingine ambayo nayo ni tete. Mtu kabaka na anatoka kutokana na kukosewa kwa kitu kidogo. Ka procedure/utaratibu.

Mungu ndo anatoa haki na stahiki zetu. Mengne tuyaache tu maana hata sisi tukiwekwa huko tunakokandia mifumo na taratibu za huko itatuongoza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…