Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

Anajodhalilisha sana, pia analidhalilisha Jeshi la Polisi, Bora Angekaa kimya na kuchukua hatua za kushughulikia suala hili kimya kimya bila ya kuushitua umma wa Wananchi.
Polis wa Tanzania anapoteuliwa kuwa RPC wa Dar huwa anajiona ni mjanja kuliko hata Rais wa Nchi , ndio shida inayompata Murilo
 
Sasa wanaenda kupekua nini kwa kesi ya uchochezi, kifaa kilichotumika ni simu ama kama huo anatumia bangi ndiyo anapost 😂😂😂
 
Polisi wa tz ni mizigo kichwani wamejaa hewa tu hizo gharama wanazotumia hapo nani analipia?
 
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.

Polisi wameondoka na Godlisten Malisa kwenda naye Moshi, Kilimanjaro usiku huu ili kufanya upekuzi nyumbani kwao wakitafuta simu ambayo polisi wamesema wanaitaka kwa ajili ya uchunguzi.

Polisi wamekwenda nyumbani kwa Boniface Jacob, Mbezi-Msakuzi, Dar es Salaam pia kufanya upekuzi ikiwa ni pamoja na kutafuta simu ambayo polisi wamesema wanahitaji ili kufanya uchunguzi.

Jeshi la polisi limesema kwamba wao ndiyo walalamikaji katika jambo hili, na kwamba Boniface Jacob na Godlisten Malisa wamefanya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii dhidi ya Jeshi la Polisi.

Pia, jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Saalam limesema kwamba, kuna makachero wa jeshi la Polisi kutoka mkoa wa Arusha ambao wanatoka Arusha kuja Dar es Saalam ili kumuhoji Boniface Jacob.

Tuteendelea kuwajulisha kwa ambayo yanaendelea. MSIOGOPE. MSIOGOPE. MSIOGOPE. MSIOGOPE.

MMM, Mtikila.

PIA SOMA
- Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

- Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC
Tanzania hatuna polisi kwa maana ya polisi.
 
So, hiyo ndiyo Police Force yenu inavyofanya kazi katika zama hizi?
Kazi mnayo
 
You cannot be a Judge for your own Case.

Polisi ni Watuhumiwa.
Polisi hao hao ni Wapelelezi.
Polisi hao hao pia ni Walalamikaji.

Je, katika scenario kama hii HAKI itatendeka???????????????????????

Katiba Mpya inahitajika Sana kwa Sasa hapa Tanzania, kwa gharama yoyote ile ni lazima ipatikane.
📝🔊🆒👌👏👍👊🤝🙏
 
Kwa taarifa hizo, huko Moshi wakifika watakuta ndizi TU.
Hukawii kusikia Murilo akiita press kusema kuwa katika upekuzi wamefanikiwa kukamata kilo nne za cocaine, bunduki mbili aina ya AK47 na nyingine gobore la kienyeji na magazine yenye risasi 13 nyumbani kwa Malisa pale Old Moshi.
 
huku ni kujitakia usumbufu usokua na maana na sympathy ambazo hazina maana yoyote kutoka kwa wanainchi 🐒

yawezekana wamekua trapped politically na washindani au wapinzani wao kisiasa, mule mule kwenye chama yao, ili kuwaingiza matatizoni, kuwadidimiza na kuwapoteza kisiasa, na wao walivyo na uchu na taamaa ya umaarufu, wapenda kiki, sifa za kijinga nao wakaingia mkenge mazima vizuri sana 🐒

miongoni mwa athari za kisiasa ambazo huenda akakumbana nazo huko mbele ni pamoja na kua disqualified ktk ungombeaji nafasi za kisiasa 🐒

watch it...
Umesoma ulichoandika mkuu na ukaona umeandika kitu kinachoeleweka?
 
Umesoma ulichoandika mkuu na ukaona umeandika kitu kinachoeleweka?
for beginners in political scene, I'm sorry, I know you must be confused completely on what I commented concerning what is going on, up on these two political activists as per motion raised above 🐒

nisamehe sana aise 🐒
 
for beginners in political scene, I'm sorry, I know you must be confused completely on what I commented concerning what is going on, up on these two political activists as per motion raised above 🐒

nisamehe sana aise 🐒
You don't make sense. You mean they shouldn't raise their voices for fear of not getting chances of being appointed to take a public office? You mean they will ruin their chances of occupying a public office just because the police have slapped false accusations on them?

Your thinking is of a very silly selfish man. You don't even deserve to take a wife and have children.

You lack any sense.
 
Kutoka kwa Emmaus Bandekile Mwamakula
Ndugu Watanzania!

Usiku huu tumeongea na mawakili wasomi Dickson Matata na Hekima Mwasipu ambao ni mawakili wa Malisa GJ na Mhe Boniface Jacob na tumejulishwa yafuatayo:

1. Malisa na Boniface wanakabiliwa na tuhuma mbili ambazo ni uchochezi na kuleta taharuki kwa jamii kwa kuchapisha taarifa kuhusu kifo cha Robert Mushi aka Babu G kwa kulihusisha Jeshi la Polisi na kifo hicho wakati marehemu amefariki kwa ajali.

2. Walalamikaji ni Jeshi la Polisi wenyewe.

3. Usiku huu Polisi wamekwenda na Boniface nyumbani kwake Msakuzi, Dar es Salaam kwa ajili ya kumfanyia upekuzi.

4. Pia usiku huu, wamesha magari na kwenda na Malisa nyumbani kwao Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya kumfanyia upekuzi.

5. Kuwa Polisi watawahoji watuhimiwa baada ya kuwafanyia upekuzi.

6. Kwamba taarifa zaidi kuhusu dhamana zao zitajulikana kesho baada ya kufanya upekuzi.

Sisi Askofu Mwamakula tunaendelea kufuatilia kwa karibu sana suala hilo kwa kuwa ni jambo linalogusa hisia za watu wengi na pia linabeba maslahi ya taifa na umma wote wa Watanzania kwa ujumla. Chimbuko la tuhuma hizo liko pia katika kurasa zao. Sisi Askofu pia tumeendelea kuwajuza watu kupitia ukurasa huu tangu jana.

Bado tunaendelea kuwaza kuwa kama ni kweli Jeshi la Polisi limetuhumiwa na watu hao, ni taasisi ipi huru itayokahoji na kuwachunguza Polisi wanaotuhumiwa kufanya hayo ambao Jeshi la Polisi linalalamika kuwa linasingiziwa?

Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Dar es Salaam, 25 Aprili 2024; saa 4:09 usiku
Taasisi ya kuwachunguza polisi ni Mahakama. Sio Mahakama chombo badi Mahakama mhimili wa dola. Hivi ni vitu viwili tofauti japo wengi huvichanganya.

Inaundwa kamati ya uchunguzi itakayoongozwa na Jaji wa Mahakama Kuu kwa ajili ya hiyo kazi.

Ila wakitaka kulinunua watawawahi kwa kupitia Bunge na kamati/kamisheni husika
 
You don't make sense. You mean they shouldn't raise their voices for fear of not getting chances of being appointed to take a public office? You mean they will ruin their chances of occupying a public office just because the police have slapped false accusations on them?

Your thinking is of a very silly selfish man. You don't even deserve to take a wife and have children.

You lack any sense.
Hit em up bro
 
You don't make sense. You mean they shouldn't raise their voices for fear of not getting chances of being appointed to take a public office? You mean they will ruin their chances of occupying a public office just because the police have slapped false accusations on them?

Your thinking is of a very silly selfish man. You don't even deserve to take a wife and have children.

You lack any sense.
that's why I said very sorry at very bigining of my comment....

you know sometimes some one must be very good in both understanding and replaying. basing on one side will ends you up on panic mode as well as confusing this......

I said among difficulties the gentleman might face in coming days especially in his leadership carrier will be disqualifications on contesting political positions...

and that will happen if this saga ends badly up on his side 🐒

so don't confuse, and take it as it must be as I commented, it is just very simple political analysis....
 
Back
Top Bottom