Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

Nilisema ukisoma maelezo ya boni yai kisha kamanda, ni rahisi sana kusolve ile equation.
 
huku ni kujitakia usumbufu usokua na maana na sympathy ambazo hazina maana yoyote kutoka kwa wanainchi 🐒

yawezekana wamekua trapped politically na washindani au wapinzani wao kisiasa, mule mule kwenye chama yao, ili kuwaingiza matatizoni, kuwadidimiza na kuwapoteza kisiasa, na wao walivyo na uchu na taamaa ya umaarufu, wapenda kiki, sifa za kijinga nao wakaingia mkenge mazima vizuri sana 🐒

miongoni mwa athari za kisiasa ambazo huenda akakumbana nazo huko mbele ni pamoja na kua disqualified ktk ungombeaji nafasi za kisiasa 🐒

watch it...
 
Kutoka kwa Emmaus Bandekile Mwamakula
Ndugu Watanzania!

Usiku huu tumeongea na mawakili wasomi Dickson Matata na Hekima Mwasipu ambao ni mawakili wa Malisa GJ na Mhe Boniface Jacob na tumejulishwa yafuatayo:

1. Malisa na Boniface wanakabiliwa na tuhuma mbili ambazo ni uchochezi na kuleta taharuki kwa jamii kwa kuchapisha taarifa kuhusu kifo cha Robert Mushi aka Babu G kwa kulihusisha Jeshi la Polisi na kifo hicho wakati marehemu amefariki kwa ajali.

2. Walalamikaji ni Jeshi la Polisi wenyewe.

3. Usiku huu Polisi wamekwenda na Boniface nyumbani kwake Msakuzi, Dar es Salaam kwa ajili ya kumfanyia upekuzi.

4. Pia usiku huu, wamesha magari na kwenda na Malisa nyumbani kwao Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya kumfanyia upekuzi.

5. Kuwa Polisi watawahoji watuhimiwa baada ya kuwafanyia upekuzi.

6. Kwamba taarifa zaidi kuhusu dhamana zao zitajulikana kesho baada ya kufanya upekuzi.

Sisi Askofu Mwamakula tunaendelea kufuatilia kwa karibu sana suala hilo kwa kuwa ni jambo linalogusa hisia za watu wengi na pia linabeba maslahi ya taifa na umma wote wa Watanzania kwa ujumla. Chimbuko la tuhuma hizo liko pia katika kurasa zao. Sisi Askofu pia tumeendelea kuwajuza watu kupitia ukurasa huu tangu jana.

Bado tunaendelea kuwaza kuwa kama ni kweli Jeshi la Polisi limetuhumiwa na watu hao, ni taasisi ipi huru itayokahoji na kuwachunguza Polisi wanaotuhumiwa kufanya hayo ambao Jeshi la Polisi linalalamika kuwa linasingiziwa?

Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Dar es Salaam, 25 Aprili 2024; saa 4:09 usiku
 
Kuna siku aliitwa Power Breakfast, arguments alizokuwa anazitoa aisee! Nilibaki nimeduwaa
Madhara ya kuajiri wenye D2
Chanzo cha janga hili ni kuwa na Elimu Duni ya Kuunga-unga. Jeshi la Polisi linapaswa kubadili fikra na mtazamo, liendane na wakati, lisibaki kwenye UJIMA wakati dunia inakwenda kasi, waachane na matumizi ya nguvu zaidi kuliko au bila akili.
Elimu ya Kidato cha Sita (ufaulu wa angalau Division Three) pamoja na Basic Certificate in Law/Jurisprudence iwe ni Minimum Qualifications au Kigezo cha LAZIMA kwa mtu yoyote yule anayetaka kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania. Haiwezekani ktk nchi hii tuwe na watu Wasimamizi wa Sheria (Polisi) ambao hawajui Sheria, this is ridiculous!
 
Kutoka kwa Emmaus Bandekile Mwamakula
Ndugu Watanzania!
Usiku huu tumeongea na mawakili wasomi Dickson Matata na Hekima Mwasipu ambao ni mawakili wa Malisa GJ na Mhe Boniface Jacob na tumejulishwa yafuatayo:
1. Malisa na Boniface wanakabiliwa na tuhuma mbili ambazo ni uchochezi na kuleta taharuki kwa jamii kwa kuchapisha taarifa kuhusu kifo cha Robert Mushi aka Babu G kwa kulihusisha Jeshi la Polisi na kifo hicho wakati marehemu amefariki kwa ajali.
2. Walalamikaji ni Jeshi la Polisi wenyewe.
3. Usiku huu Polisi wamekwenda na Boniface nyumbani kwake Msakuzi, Dar es Salaam kwa ajili ya kumfanyia upekuzi.
4. Pia usiku huu, wamesha magari na kwenda na Malisa nyumbani kwao Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya kumfanyia upekuzi.
5. Kuwa Polisi watawahoji watuhimiwa baada ya kuwafanyia upekuzi.
6. Kwamba taarifa zaidi kuhusu dhamana zao zitajulikana kesho baada ya kufanya upekuzi.
Sisi Askofu Mwamakula tunaendelea kufuatilia kwa karibu sana suala hilo kwa kuwa ni jambo linalogusa hisia za watu wengi na pia linabeba maslahi ya taifa na umma wote wa Watanzania kwa ujumla. Chimbuko la tuhuma hizo liko pia katika kurasa zao. Sisi Askofu pia tumeendelea kuwajuza watu kupitia ukurasa huu tangu jana.
Bado tunaendelea kuwaza kuwa kama ni kweli Jeshi la Polisi limetuhumiwa na watu hao, ni taasisi ipi huru itayokahoji na kuwachunguza Polisi wanaotuhumiwa kufanya hayo ambao Jeshi la Polisi linalalamika kuwa linasingiziwa?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 25 Aprili 2024; saa 4:09 usiku
You cannot be a Judge for your own Case.

Polisi ni Watuhumiwa.
Polisi hao hao ni Wapelelezi.
Polisi hao hao pia ni Walalamikaji.

Je, katika scenario kama hii HAKI itatendeka???????????????????????

Katiba Mpya inahitajika Sana kwa Sasa hapa Tanzania, kwa gharama yoyote ile ni lazima ipatikane.
 
Kuna siku ilitakiwa gari iondoke mbezi kwa Yusuf iende sijui ilala ikamkamate mtuhumiwa wangu naambiwa hakuna mafuta natoa 30k ya mafuta na huku nimeibiwa. Yaani unapata matatizo bado wao wanakukula.
Jamaa wapo kwa ajili yao na sio kwa Taifa wanaowalipa salary
 
Gharama tu zizizo na tija kwa kesi za kijinga, Kodi ya mtanzania sijui Ina laana Gani maana inatumika kwa mambo ya kijinga sana
Kubomoa credibility ya jeshi la polisi na hivyo serikali,ni Jambo la hatari kuliko hiyo pesa ya mafuta kwenda Arusha,unapokua na nchi ambayo raia wake hawaamini serikali Hilo ni bomu litalolipuka muda wowote,kwa hiyo makomredi watoe tu ushirikuano ili Kama walizingua watumikie
 
Back
Top Bottom