Upimzami❌Upimzami wanakwama sana,màana hata wafuasi wao hawajui kipi wadai,Mara nyeupe #77 sasa ndo nini?
Niko huku naona watu wamevaa kijani na njano kama ishara ya kuiunga mkono CCM
Upimzani tambueni kuwa mwaka huu msipokuwa makini hata wabunge wanne hampati,sasa hiyo nyeupe saba saba mliyoiasisi kwa lengo la kuichafua taswira ya nchi yetu hakika haitawasaidia
Kwa hili mjitathimini
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hakuna Jambo wafuasi wa shetani(machadema)wakalisema likafanikiwa huwa wanafeli tu,sijui yule askofu njaa anajisikiaje watanzania walivyopuuza uchochezi wake [emoji23][emoji1787]Upimzami wanakwama sana,màana hata wafuasi wao hawajui kipi wadai,Mara nyeupe #77 sasa ndo nini?
Niko huku naona watu wamevaa kijani na njano kama ishara ya kuiunga mkono CCM
Upimzani tambueni kuwa mwaka huu msipokuwa makini hata wabunge wanne hampati,sasa hiyo nyeupe saba saba mliyoiasisi kwa lengo la kuichafua taswira ya nchi yetu hakika haitawasaidia
Kwa hili mjitathimini
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Na wewe unayejidai kukosoa watu wakati haujui kitu wewe ni mzigo wa nani?Mkuu Wewe naye ni mzigo pamoja na chadema yako,must be take place ulimaanisha nini?
Nimeandaa nyeupe kuanzia kiatu, suruali mpaka shati. Na wife naye atapiga dera jeupe hiyo kesho. Bila tume huru ya uchaguzi, hakuna uchaguzi chini ya hiyo tume ya kihuni.
Kwani kujitambua ni kuvaa t-shirt nyeupe na kuipinga serikali iliyo madarakani kihalali? Tena kwa kura za wananchi?
Kwani corona bado ipo?Sasa maandamano ya nini kipindi hiki cha #covid19.Na ukivunjika mguu gharama ni juu yako!
Bora mpigwe marufuku tu!
Mimi ndo nailinda hadi nijue ipo au haipo?Kwani corona bado ipo?
Mnatumia corona Kama kichaka kuficha udhaifu wenu...mbona mikutano magu anafanya?, Maandamano Ni Haki kikatiba, nyie mnahofu gani?Mimi ndo nailinda hadi nijue ipo au haipo?
Hilo kundi unaloniweka sidhani kama nimo.Mnatumia corona Kama kichaka kuficha udhaifu wenu...mbona mikutano magu anafanya?, Maandamano Ni Haki kikatiba, nyie mnahofu gani?
Jioni njemaHilo kundi unaloniweka sidhani kama nimo.
Upimzami wanakwama sana,màana hata wafuasi wao hawajui kipi wadai,Mara nyeupe #77 sasa ndo nini?
Niko huku naona watu wamevaa kijani na njano kama ishara ya kuiunga mkono CCM
Upimzani tambueni kuwa mwaka huu msipokuwa makini hata wabunge wanne hampati,sasa hiyo nyeupe saba saba mliyoiasisi kwa lengo la kuichafua taswira ya nchi yetu hakika haitawasaidia
Kwa hili mjitathimini
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Acheni kushiriki hadi hapo tume huru itakapopatikanaSio wanne hata mmoja maana hakuna tume huru kbs
Mrejesho pleaseNimeandaa nyeupe kuanzia kiatu, suruali mpaka shati. Na wife naye atapiga dera jeupe hiyo kesho. Bila tume huru ya uchaguzi, hakuna uchaguzi chini ya hiyo tume ya kihuni.
Mrejesho pleaseNimeandaa nyeupe kuanzia kiatu, suruali mpaka shati. Na wife naye atapiga dera jeupe hiyo kesho. Bila tume huru ya uchaguzi, hakuna uchaguzi chini ya hiyo tume ya kihuni.