Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Upimzami wanakwama sana,màana hata wafuasi wao hawajui kipi wadai,Mara nyeupe #77 sasa ndo nini?

Niko huku naona watu wamevaa kijani na njano kama ishara ya kuiunga mkono CCM

Upimzani tambueni kuwa mwaka huu msipokuwa makini hata wabunge wanne hampati,sasa hiyo nyeupe saba saba mliyoiasisi kwa lengo la kuichafua taswira ya nchi yetu hakika haitawasaidia

Kwa hili mjitathimini

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Upimzami❌
Upinzani.✔
Kingereza hakipandi na kiswahili nacho ni majanga.
 
Upimzami wanakwama sana,màana hata wafuasi wao hawajui kipi wadai,Mara nyeupe #77 sasa ndo nini?

Niko huku naona watu wamevaa kijani na njano kama ishara ya kuiunga mkono CCM

Upimzani tambueni kuwa mwaka huu msipokuwa makini hata wabunge wanne hampati,sasa hiyo nyeupe saba saba mliyoiasisi kwa lengo la kuichafua taswira ya nchi yetu hakika haitawasaidia

Kwa hili mjitathimini

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hakuna Jambo wafuasi wa shetani(machadema)wakalisema likafanikiwa huwa wanafeli tu,sijui yule askofu njaa anajisikiaje watanzania walivyopuuza uchochezi wake [emoji23][emoji1787]
 
Mkuu Wewe naye ni mzigo pamoja na chadema yako,must be take place ulimaanisha nini?
Na wewe unayejidai kukosoa watu wakati haujui kitu wewe ni mzigo wa nani?
Kweli fictional sio adjective ya Fiction? Tena hapo ulikuwa kifua mbele umeviiiimba mwenyewe😂😂😂😂😂😂😂 acha kazi ya kukosoa tumia huo muda kwenda English course.
 
Attachments

  • IMG_20200707_134821_999.JPG
    IMG_20200707_134821_999.JPG
    16.5 KB · Views: 3
Nimeandaa nyeupe kuanzia kiatu, suruali mpaka shati. Na wife naye atapiga dera jeupe hiyo kesho. Bila tume huru ya uchaguzi, hakuna uchaguzi chini ya hiyo tume ya kihuni.

Naelekea uwanja wa 7/7, nimevaa nyeupe toka juu mpaka chini. Na wife katinga kijiweni kwake na dera jeupe. Na sio mimi kuvaa tu, kila nikikutana na anayenijua namchombeza kuwa nimevaa nyeupe kwakuwa leo ni maalum kwa vazi hili. Nitajitahidi kumtafuta Paskali hapo 7/7 anipe airtime kidogo na nguo zangu nyeupe.

Cc: Paskali Mayalla
 
Kwani kujitambua ni kuvaa t-shirt nyeupe na kuipinga serikali iliyo madarakani kihalali? Tena kwa kura za wananchi?

Acha upotoshaji wa kijinga, hakuna anayevaa nguo nyeupe kuipinga serikali iliyoko madarakani kihalali, bali tunavaa nguo nyeupe kutaka tume huru ya uchaguzi. Hapa nilipo nimevaa shati na suruali nyeupe kuashiria hilo, je nimeipinga serikali gani?
 
Ndo hapo Watanganyika huwa hawaeleweki kama amiba!

Kuvaa nguo tu ukaendelea na shughuli zako pia mnaogopa?

Hakuna uhuru hata wa kuvaa?

Hivi mngekamatwa? mkiwa sehemu za kazi na nguo nyeupe?

Ingekuwa ni Zanzibar...nguo zingevaliwa vizuri tu.. ... katiba haijavunjwa hapo wala hakuja fanywa maandamano!
 
Sio wanne hata mmoja maana hakuna tume huru kbs
Upimzami wanakwama sana,màana hata wafuasi wao hawajui kipi wadai,Mara nyeupe #77 sasa ndo nini?

Niko huku naona watu wamevaa kijani na njano kama ishara ya kuiunga mkono CCM

Upimzani tambueni kuwa mwaka huu msipokuwa makini hata wabunge wanne hampati,sasa hiyo nyeupe saba saba mliyoiasisi kwa lengo la kuichafua taswira ya nchi yetu hakika haitawasaidia

Kwa hili mjitathimini

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Tanzania tuache kubip vitu.

Unapiga makelele huku umejifungia nyumbani kwako na mke/mme wako.

Kama wewe ni mpambanji , mwanaharakati , hauogopi si utoke huko nje mtaani uidai hiyo Tume Huru ya Uchaguzi ?! Kwanini unapiga picha umevaa nguo nyeupe huko uchochoroni ?

Tuache mazingaombwe.

Haki haidaiwi chumbani. Acheni woga
 
Askofu Bagonza mwenyewe hakuandamana angekuwa serious kwa aliyosema si angeandamana hata peke yake kuonyesha kuwa he means what he says!!!
Lakini wapi kaufyata.Askofu mzima hovyo anawatwika wengine nira ambayo yeye hawezi beba.Farisayo mkubwa
 
Nimeandaa nyeupe kuanzia kiatu, suruali mpaka shati. Na wife naye atapiga dera jeupe hiyo kesho. Bila tume huru ya uchaguzi, hakuna uchaguzi chini ya hiyo tume ya kihuni.
Mrejesho please
 
Nimeandaa nyeupe kuanzia kiatu, suruali mpaka shati. Na wife naye atapiga dera jeupe hiyo kesho. Bila tume huru ya uchaguzi, hakuna uchaguzi chini ya hiyo tume ya kihuni.
Mrejesho please
 
Back
Top Bottom