Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Bado siku 3, acha tuoneJeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.
View attachment 3511614
Anatupigia kelele tu, tunaomba wapitishe yale magari yao ya kutisha raia na kufanya mazoezi ya ukakamavu tena, hawakujua walikuwa wana build a case against themselves mapopoma hawaJeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.
View attachment 3511614
Barua mbona tumewatumia au mmeichana? Sisi tutaandamana tu kwani kama barua haijafika waulizwe posta au kama imefika mkaichana ili mtuletee vurugu basi sawa ila tutaandamana. Yaani mvua inyeshe jua liwake sisi tutaandamana, mkitaka tuueni tu.Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.
View attachment 3511614
Habili kawaingiza chaka wana Tiktok kwamba aliwasilisha barua kwa msaidizi wa Muliro.Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.
View attachment 3511614
Barua wanayo acha kuwadanganya watuHabili kawaingiza chaka wana Tiktok kwamba aliwasilisha barua kwa msaidizi wa Muliro.
Matako yakeJeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.
View attachment 3511614
yaruhusini atakayeingia barabarani awe mbolea mbona rahisi maneno ya nini ? shaba ina kazi gani ? tena kila intersection wakae wajuba na gari za kiraia wakijichanganya tu kichwa kinafumuka , na maiti isipatikane walishwe samaki , ZOEZI DOGOOOOO MANENO MENGI WHY?Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.
View attachment 3511614
yaruhusini atakayeingia barabarani awe mbolea mbona rahisi maneno ya nini ? shaba ina kazi gani ? tena kila intersection wakae wajuba na gari za kiraia wakijichanganya tu kichwa kinafumuka , na maiti isipatikane walishwe samaki , ZOEZI DOGOOOOO MANENO MENGI WHY?