PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Furaha yangu ni kuona nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakipigwa risasi mbele ya mali watakazoiba au kuharibu hadi watubu.

Naliagiza jeshi la polisi nyumbu yoyote muhalifu wautumie mwili wake kama sehemu ya mazoezi ya kulenga shabaha.
Ukiwa mwizi kama wewe unafikiri kila mtu mwizi? I hope ulishaacha ule mchezo wako wa kujifanya kilema na kuibia watu makanisani, una laana wewe
 
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.

Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.

View attachment 3511614
Sheria inasema, Polisi mpewe taarifa na sio kuomba kibali na taarifa mnayo

Habil Kabili (Mzee wa hii mijamaa ya serikali ya Samia Suluhu Hassan ni mi - primitive sana😂) yuko on record akiwapigia simu Jumanne Muliro na IGP kwa sbb maandamano haya ni ya bila kikomo na yatafanyika nchi nzima kuanzia #D9!!

Ujumbe ni mmoja tu wenye hashtag #SamiaSuluhuHassanMustGo

By the way, mkubali au mkatae, maandamano haya hayahitaji kukubali au kukataa kwenye. Lakini ni lazima muyalinde au mje mtuue tuone kama nyie pia hamtakufa!
 
Nyie simamieni waandamanaji asb hadi jioni, mkijaribu ku shoot muue mtazidi kumpomza mama Abudul, anastasia jela za wazungu badala ya kukaa na wajukuu zake.
 
Wazazi walio zaa Watoto wao wakawa mapoliccm heri wangelimwagia Nje bao Hilo sisimizi wakapata utamu.

Sasa kama hawana Taarifa wamejuaje Kuna maandamano?

Kazi Yao ni kuturinda kama hiyo kazi imewashinda basi tukutane site
 
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.

Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.

View attachment 3511614
Thread 'UN watoa wito kwa serikali kulinda waandamanaji wa 9 Desemba, 2025' PostGE2025 - UN watoa wito kwa serikali kulinda waandamanaji wa 9 Desemba, 2025
 
Sheria inasema, Polisi mpewe taarifa na sio kuomba kibali na taarifa mnayo

Habil Kabili (Mzee wa hii mijamaa ya serikali ya Samia Suluhu Hassan ni mi - primitive sana😂) yuko on record akiwapigia simu Jumanne Muliro na IGP kwa sbb maandamano haya ni ya bila kikomo na yatafanyika nchi nzima kuanzia #D9!!

Ujumbe ni mmoja tu wenye hashtag #SamiaSuluhuHassanMustGo

By the way, mkubali au mkatae, maandamano haya hayahitaji kukubali au kukataa kwenye. Lakini ni lazima muyalinde au mje mtuue tuone kama nyie pia hamtakufa!
ujinga huo hauwezi kutokea tena wale wanajeshi vishoka waliosaport 29 leo hawapo kazini
 
Anatupigia kelele tu, tunaomba wapitishe yale magari yao ya kutisha raia na kufanya mazoezi ya ukakamavu tena, hawakujua walikuwa wana build a case against themselves mapopoma hawa

hawana hio jeuri sasa hivi...hawaamini macho yao
 
Kwani ile MO29 waliruhusu!? Si hadi Samuya aliyapiga marufuku, na kama hawana barua wao wamepata wapi taarifa za maandamano.

Hawa watu wanatafakarisha sana ,watazuiaje kitu ambacho halijaombwa na hawana taarifa za kiofisi,wao kama wameshajipanga tukutane Field D9

Aisee
 
Kama hakuna barua wamejuaje kama Kuna maandamano D9. Ivi sijawahi ona serikali ikaruhusu maandamano ya kuipinga serikali
 
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.

Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.

View attachment 3511614
Sasa kama hakuna barua yoyote mliyopokea mnapiga marufiku maandamano Gani??
 
Ukiwa mwizi kama wewe unafikiri kila mtu mwizi? I hope ulishaacha ule mchezo wako wa kujifanya kilema na kuibia watu makanisani, una laana wewe
Kanisani wamejaa nyumbu lazima waibiwe.
 
Kwani ile MO29 waliruhusu!? Si hadi Samuya aliyapiga marufuku, na kama hawana barua wao wamepata wapi taarifa za maandamano.

Hawa watu wanatafakarisha sana ,watazuiaje kitu ambacho halijaombwa na hawana taarifa za kiofisi,wao kama wameshajipanga tukutane Field D9
Ni kweli vipi matokeo Yake lakini? Ulipata maiti ya ndugu yako?
 
Back
Top Bottom