PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
yaruhusini atakayeingia barabarani awe mbolea mbona rahisi maneno ya nini ? shaba ina kazi gani ? tena kila intersection wakae wajuba na gari za kiraia wakijichanganya tu kichwa kinafumuka , na maiti isipatikane walishwe samaki , ZOEZI DOGOOOOO MANENO MENGI WHY?
🌈
 
Non
MIMI KAMA YULE JAMAA ALIYEVAA JERSEY YA YANGA NIKO TAYARI TENA KWA KAZI YA KULINDA AMANI.AWAMU HII WAHUNI WATANIJUA MIMI NI YANGA DAMU DAMU.MBELE DAIMA NYUMA MWIKO.aluta continua......
s
 
Badala ya kutoa ulinzi kwa waandamanaji watume ujumbe

Vituo vya Redio, televisheni, mitandao ya jamii, Twitter, JF N.k mmepiga marufuku. Bunge mmeliteka nyara, vyama vya upinzani mmevihujumu.

Njia iliyobaki kufikisha ujumbe kwa utawala dhalimu, gandamizi inayoua watu, yaani maandamano pia mnapiga marufuku.

Sauti za raia nafasi mbili walizobakia nazo ni maandamano au kuingia msituni
 
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.

Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.

View attachment 3511614
Enzi ya mkapa baba yangu major general mstaafu alikuwa mkuu wa mkoa flani , siku moja wasomali waliteka gari 10 wakaua na polisi 2 , waziri wa wakuu wa mikoa enzi hizo alikuwa brigedia hassan ngwilizi akamwambia mzeee tukiwa wote mimi mdogo nina miaka17 hivi mkuu wa mkoa mwanajeshi nikufundishe nana ya kutuliza ghasia ? usirudie kuomba ushauri wa kijinga Ngwilizi akakata simu, mzeee akaniambia dogo leo unaenda field siwezi kurudi nyumbani mpaka nitende jambo kwa sababu nilikuwa naogopa kutenguliwa, Mzeee akawaambia task force yake tukutane field sasahivi, walipiga wasomali na waliowahifadhi wasomali kama 200 hivi na nyumba zote za wamasai zilichomwa moto zote zote zoteeeeeeee kama 1000 hivi na watu wake ndani , ngombe buzi kondooo wote walichukuliwa kugharamia operesheni, baada ya siku tatu Sumaye waziri mkuu akampigia cm mzee akamwambia aiseee pumzisha operesheni imekuwa kubwa mno rais ameagiza samehe waliobaki , na kweli kuanzia siku hiyo mpaka leo hakuna tena ujangili ngorongoro au serengeti wa silaha, hiyo ndo nchi inavyotakiwa kuendeshwa, hawa wabishi waachwe wakiiingia tu barabarani wamalizwe wote mbona wataelewa tu somo
 
VIEWS 56,000
29 November 2025
Sumbawanga, Tanzania

M/KITI WA CHADEMA SUMBAWANGA ADOLF MKONO AFUNGUKA MAZITO KWENYE KONGAMANO LA VIJANA | TUNA MAUMIVU YA OKTOBA 29, 2025​

View: https://m.youtube.com/watch?v=12pTD54NCT8

DC, DAS na Samia wapewa ukweli

GenZ siyo wa kwanza kukataa ukoloni, wakati wa vuguvugu la vita ya Majimaji waTanganyika 300,000 walipoteza maisha kupinga ukoloni

Hizi stori za kuwa waTanzania hawajawahi kupoteza maisha wakikataa ukoloni. Hivyo GenZ ni watanzania wanaorudia historia ya vuguvugu la Majimaji na wapo tayari kumpinga mkoloni mweusi anakumbushia mwenyekiti wa CHADEMA Sumbawanga..

Anaongeza kuwa watawala wakoloni weusi waliopo Dodoma ni makaburu pia, kwa kuwabagua watanzania wenzao wasiokuwepo ktk CCM anakumbushia mwenyekiti wa CHADEMA huku DC wa Sumbawanga na kamati yake ya ulinzi na usakama wakitoa macho kushangaa ukumbi ukiofurika mjini Sumbawanga wakishangilia nondo za kada huyo wa chama kikuu mbadala cha nchini Tanzania ..

Kada huyo akumbushia kiburi cha watawala 2019 TAMISEMI, 2020, 2024 na juzi Oktoba 29, 2025 ambapo watanzania GenZ wakakataa kuendelea kuona kiburi cha serikali ya CCM

Mwaka 1884 kurudi nyuma watu wa Sumbawanga na maeneo mengine walikuwa wanachagua viongozi wao. Mwaka 1885 wakoloni wakakaa kule Berlin na kutuchagulia viongozi. Leo hii CCM nayo inafanya mambo yaleyale ya Bismarck wa Ujerumani, Samia na CCM wanakaa Dodoma kutulazimisha kukubali viongozi ambao hawaja chaguliwa kuja kuwatawala CCM wanana kiburi cha mkoloni mweusi...

Watawala wa Dodoma ni lazima wakubali wakati ni ukuta, mabadiliko ni lazima ili haki na amani iwepo
 
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.

Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.

View attachment 3511614
Hivi Yale ya Nepal, Bangladesh, na Malagarasi yalipata vibali
 
Enzi ya mkapa baba yangu major general mstaafu alikuwa mkuu wa mkoa flani , siku moja wasomali waliteka gari 10 wakaua na polisi 2 , waziri wa wakuu wa mikoa enzi hizo alikuwa brigedia hassan ngwilizi akamwambia mzeee tukiwa wote mimi mdogo nina miaka17 hivi mkuu wa mkoa mwanajeshi nikufundishe nana ya kutuliza ghasia ? usirudie kuomba ushauri wa kijinga Ngwilizi akakata simu, mzeee akaniambia dogo leo unaenda field siwezi kurudi nyumbani mpaka nitende jambo kwa sababu nilikuwa naogopa kutenguliwa, Mzeee akawaambia task force yake tukutane field sasahivi, walipiga wasomali na waliowahifadhi wasomali kama 200 hivi na nyumba zote za wamasai zilichomwa moto zote zote zoteeeeeeee kama 1000 hivi na watu wake ndani , ngombe buzi kondooo wote walichukuliwa kugharamia operesheni, baada ya siku tatu Sumaye waziri mkuu akampigia cm mzee akamwambia aiseee pumzisha operesheni imekuwa kubwa mno rais ameagiza samehe waliobaki , na kweli kuanzia siku hiyo mpaka leo hakuna tena ujangili ngorongoro au serengeti wa silaha, hiyo ndo nchi inavyotakiwa kuendeshwa, hawa wabishi waachwe wakiiingia tu barabarani wamalizwe wote mbona wataelewa tu somo
Mzee hii miaka ya Giza upuuzi huo haiwezekani tena Sasa hivi Kila kitakachofanyika Dunia inajua ndio maana unaambiwa ccm Bado mnatumia mbinu za Miaka hamsini iliyopita
 
Enzi ya mkapa baba yangu major general mstaafu alikuwa mkuu wa mkoa flani , siku moja wasomali waliteka gari 10 wakaua na polisi 2 , waziri wa wakuu wa mikoa enzi hizo alikuwa brigedia hassan ngwilizi akamwambia mzeee tukiwa wote mimi mdogo nina miaka17 hivi mkuu wa mkoa mwanajeshi nikufundishe nana ya kutuliza ghasia ? usirudie kuomba ushauri wa kijinga Ngwilizi akakata simu, mzeee akaniambia dogo leo unaenda field siwezi kurudi nyumbani mpaka nitende jambo kwa sababu nilikuwa naogopa kutenguliwa, Mzeee akawaambia task force yake tukutane field sasahivi, walipiga wasomali na waliowahifadhi wasomali kama 200 hivi na nyumba zote za wamasai zilichomwa moto zote zote zoteeeeeeee kama 1000 hivi na watu wake ndani , ngombe buzi kondooo wote walichukuliwa kugharamia operesheni, baada ya siku tatu Sumaye waziri mkuu akampigia cm mzee akamwambia aiseee pumzisha operesheni imekuwa kubwa mno rais ameagiza samehe waliobaki , na kweli kuanzia siku hiyo mpaka leo hakuna tena ujangili ngorongoro au serengeti wa silaha, hiyo ndo nchi inavyotakiwa kuendeshwa, hawa wabishi waachwe wakiiingia tu barabarani wamalizwe wote mbona wataelewa tu somo
Babako alikuwa General mpumbavu sana, hana sifa za kuitwa hata Sajenti.
 
Kazi ngumu ni hii ya kuwa msemaji wa policcm na ile ya msigwa

🚮🚮🚮
Sio kazi hizo bora kubeba box Canada tu unafanya kazi huku unakua na hofu ya Mungu kuwa unachokisema sio sahihi ila ni kwa matakwa ya wakubwa.
 
Tushaongea sana
tumeshauri sana humu ila mkakaza fuvu

Vitisho na agenda za udini havisaidi tena
Maandamano yapo palepale

TUKUTANE GROUND.
 
Back
Top Bottom