Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Ukiwa mwizi kama wewe unafikiri kila mtu mwizi? I hope ulishaacha ule mchezo wako wa kujifanya kilema na kuibia watu makanisani, una laana weweFuraha yangu ni kuona nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakipigwa risasi mbele ya mali watakazoiba au kuharibu hadi watubu.
Naliagiza jeshi la polisi nyumbu yoyote muhalifu wautumie mwili wake kama sehemu ya mazoezi ya kulenga shabaha.
Sheria inasema, Polisi mpewe taarifa na sio kuomba kibali na taarifa mnayoJeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.
View attachment 3511614
Tulia 🫵🌈wewe na dada yako
Thread 'UN watoa wito kwa serikali kulinda waandamanaji wa 9 Desemba, 2025' PostGE2025 - UN watoa wito kwa serikali kulinda waandamanaji wa 9 Desemba, 2025Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.
View attachment 3511614
wakalinde sudanThread 'UN watoa wito kwa serikali kulinda waandamanaji wa 9 Desemba, 2025' PostGE2025 - UN watoa wito kwa serikali kulinda waandamanaji wa 9 Desemba, 2025
Waambie wewewakalinde sudan
ujinga huo hauwezi kutokea tena wale wanajeshi vishoka waliosaport 29 leo hawapo kaziniSheria inasema, Polisi mpewe taarifa na sio kuomba kibali na taarifa mnayo
Habil Kabili (Mzee wa hii mijamaa ya serikali ya Samia Suluhu Hassan ni mi - primitive sana😂) yuko on record akiwapigia simu Jumanne Muliro na IGP kwa sbb maandamano haya ni ya bila kikomo na yatafanyika nchi nzima kuanzia #D9!!
Ujumbe ni mmoja tu wenye hashtag #SamiaSuluhuHassanMustGo
By the way, mkubali au mkatae, maandamano haya hayahitaji kukubali au kukataa kwenye. Lakini ni lazima muyalinde au mje mtuue tuone kama nyie pia hamtakufa!
Anatupigia kelele tu, tunaomba wapitishe yale magari yao ya kutisha raia na kufanya mazoezi ya ukakamavu tena, hawakujua walikuwa wana build a case against themselves mapopoma hawa
hawana hio jeuri sasa hivi...hawaamini macho yaoAnatupigia kelele tu, tunaomba wapitishe yale magari yao ya kutisha raia na kufanya mazoezi ya ukakamavu tena, hawakujua walikuwa wana build a case against themselves mapopoma hawa
Kwani ile MO29 waliruhusu!? Si hadi Samuya aliyapiga marufuku, na kama hawana barua wao wamepata wapi taarifa za maandamano.
Hawa watu wanatafakarisha sana ,watazuiaje kitu ambacho halijaombwa na hawana taarifa za kiofisi,wao kama wameshajipanga tukutane Field D9
Sasa kama hakuna barua yoyote mliyopokea mnapiga marufiku maandamano Gani??Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.
View attachment 3511614
Kanisani wamejaa nyumbu lazima waibiwe.Ukiwa mwizi kama wewe unafikiri kila mtu mwizi? I hope ulishaacha ule mchezo wako wa kujifanya kilema na kuibia watu makanisani, una laana wewe
Ni kweli vipi matokeo Yake lakini? Ulipata maiti ya ndugu yako?Kwani ile MO29 waliruhusu!? Si hadi Samuya aliyapiga marufuku, na kama hawana barua wao wamepata wapi taarifa za maandamano.
Hawa watu wanatafakarisha sana ,watazuiaje kitu ambacho halijaombwa na hawana taarifa za kiofisi,wao kama wameshajipanga tukutane Field D9
Sijapata,tunaishi mara Moja,sinunui uogaNi kweli vipi matokeo Yake lakini? Ulipata maiti ya ndugu yako?
Sawa shujaa katupambanie D9 ! TutakuenziSijapata,tunaishi mara Moja,sinunui uoga
Tukutane Field D9
Mkuu hii ni Shughuli ya wanaume haihitaji wanawake,Kaa nyumbani umuandalie chakula mumeoSawa shujaa katupambanie D9 ! Tutakuenzi