PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mbona sasa hivi hamtutishi tena kama mwanzo? Kilichotokea tar 29 hamkuamini sio?? NA BADO.
 
******* ninyi, Kvma Kabisa .Maandamano ni lazima
 
Linapiga marufuku kama nani
 
Mbona sasa hivi hamtutishi tena kama mwanzo? Kilichotokea tar 29 hamkuamini sio?? NA BADO.
Bro hebu niulize hapo, kwani kwa Yale ya tarehe 29 Nani aliyeathirika hadi useme hawakuamini kilichotokea!? Serikali ilipata madhara gani? Binafsi home tulipoteza ndugu wawili, hebu nisaidie hapo
 
Watajiju
 
Wewee ni liongoo, kapukuuu kabisaa eti mshua ako alikua mkuu wa mkoa, mxxciiieeew
 
Bro hebu niulize hapo, kwani kwa Yale ya tarehe 29 Nani aliyeathirika hadi useme hawakuamini kilichotokea!? Serikali ilipata madhara gani? Binafsi home tulipoteza ndugu wawili, hebu nisaidie hapo
Mkuu mpaka sasa hujui athari ambazo serikali inaendelea kuzipata toka wafanye mauaji ya kikatili? Unafatilia habari mitandaoni? Unajua kama USA inaenda kuvunja mahusiano na Tz? Nchi za ulaya umesikia matamko waliyotoa dhidi ya Tz? Unajua huyu mama ICC wanamsaka usiku na mchana? Unajua Tz imepigwa pin kupata mikopo? Enewei athari bado serikali inaendelea kuzipata siku zinavyozidi kwenda stay tuned. Pole kwa kupoteza ndugu mkuu, ukombozi ni haupatikani kirahisi athari zake ndio hizo.
 
We Mjinga, hamtaweza kula UROJO kwa utulivu tena. Ni hadi huyo hayawani Samia atakapokimbia nchi yetu au kukamatwa.
 
Mbona lugha imekuwa ni tofauti na iliyozoeleka siku zote toka kwa hawa watu!
 
Ungejuwa hali tete aliyonayo Samia Suluhu Hassan wakati huu, wewe nguruwe waku usingeweza kuandika haya maneno hapa.

Wewe ni nguruwe tu unayefugwa na huyo unayemtilia matumaini makubwa ya kuwaua waTanzania ili aendelee kukulisha wewe makombo yake!
 
Furaha yangu ni kuona nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakipigwa risasi mbele ya mali watakazoiba au kuharibu hadi watubu.

Naliagiza jeshi la polisi nyumbu yoyote muhalifu wautumie mwili wake kama sehemu ya mazoezi ya kulenga shabaha.
Nguruwe inaonyesha unayo hofu kubwa sana!
 
Ungejuwa hali tete aliyonayo Samia Suluhu Hassan wakati huu, wewe nguruwe waku usingeweza kuandika haya maneno hapa.

Wewe ni nguruwe tu unayefugwa na huyo unayemtilia matumaini makubwa ya kuwaua waTanzania ili aendelee kukulisha wewe makombo yake!
wale hawakuwa waandamanaji walikuwa mjambazi. muandamanaji anachoma kituo cha polisi sanaiba duka simu? wanavunja ATM? HALAFU MNAYAITA WAANDAMANAJI SHENZI KABISA , NAUMIA MNO WALIPIGWA SHABA WACHACHE MNO
 

Wewe ni nani Abdul, Mombo, Mafwele, Muliro, Haji Omar Kheir? una hamu sana kuua Watanganyika kwa sababu gani? Pesa, Cheo, umaarufu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…