nadhani wewe huishi Tanzania ndo maana hujui kwa nini nawachukia mpaka basi hao mbwa wanaoitwa waandamanaji. walikuja tarehe 29 saa 11 jioni kwenye biashara zetu tukapambana vIjana wema wakasaidia kuwatuliza kwa kupigana nao mawe wakaondoka, tukafunga biashara watu wote , wenye maduka , wenye baaa wenye viwanda akiwemo tajiri wetu mkubwa Rapha group tukajua yameisha, usiku saa 3 tukasikia wamechoma kituo cha polisi uyole ni jirani, mara wamechoma baa ya ilolesi ni ya mzee wa ccm, mara wamechoma Mwaji group , saa 7 usiku wamechoma kwa tulia , saa 11 asubuhi wamerudi tena kwetu tukapambana nao kwa kupiga risasi juu, imagine tusingekuwepo macho ? kwa hiyo hatukulala , wakarudi tena kumbuka hapo polisi hawapokei tena cm wanakimbizana kulinda miundombinu mukubwa kwa hiyo sisi ni kujilinda wenyewe, mchana wote tarehe 30 walivamia zaidi ya mduka 40 na soko la kabwe, Usiku tarehe 30 wakarudi tena wakavunja ATM kwa mwaji Hivi utawapendaje hao mbwa weusi , mahayawani, majambazi mashenzi, huwa nawaona wendawazimu wote mnaowasikitikia yale majibwa yaliyokufa, nina hamu hata waliopo mahabusu wauwawe wote tena vifo vya uchungu na mateso sanaWewe ni nani Abdul, Mombo, Mafwele, Muliro, Haji Omar Kheir? una hamu sana kuua Watanganyika kwa sababu gani? Pesa, Cheo, umaarufi?
sasahivi risasi tu tumeshajua nyani akichekewa hana adabuPolisi warudie kauli ya nywinywinywi
Ndoto2020, solution, suluhisho la kudumu ni lipi?nadhani wewe huishi Tanzania ndo maana hujui kwa nini nawachukia mpaka basi hao mbwa wanaoitwa waandamanaji. walikuja tarehe 29 saa 11 jioni kwenye biashara zetu tukapambana vjana wema wakasaidia kuwatuliza wakaondoka, tukafunga biashara watu wote , wenye maduka , wenye baaa wenye viwanda akiwemo tajiri wetu mkubwa Rapha group tukajua yameisha, usiku saa 3 tukasikia wachoma kituo cha polisi uyole ni jirani, mara wachoma baa ya ilolesi ni ya mzee wa ccm, mara wamechoma Mwaji group , saa 7 usiku wamechoma kwa tulia , saa 11 asubuhi wamerudi tena kwetu tukapambana nao kwa kupiga risasi juu , tarehe 30 wakarudi tena kumbuka hapo polisi hawapokei tena cm wanakimbizana kulinda miundombinu mukubwa kwa hiyo sisi ni kujilinda wenyewe, mchana wote tarehe 30 walivamia zaidi ya mduka 40 na soko la kabwe, Usiku tarehe 30 wakarudi tena wakavunja ATM kwa mwaji Hivi utawapendaje hao mbwa weusi , mahayawani, majambazi mashenzi
THIS TIME NIMEOMBA KABISA KIBALI AKIKARIBIA TU KICHWA KINAPASUKA TENA MBILI MBILI KILA KICHWA KIMOJA
Tupo tunasubirisasahivi risasi tu tumeshajua nyani akichekewa hana adabu
Wee ni liongoooo, mxxxiiiieeeewsawa wewe bishaa kwani nataka nini humu zaidi ya kukutaarifu namna kazi inavyofanyika
bado hamjasema!Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika maandamano hayo.
View attachment 3511614
mtandikie SAMUYA wako zulia la kwenda ICCMIMI KAMA YULE JAMAA ALIYEVAA JERSEY YA YANGA NIKO TAYARI TENA KWA KAZI YA KULINDA AMANI.AWAMU HII WAHUNI WATANIJUA MIMI NI YANGA DAMU DAMU.MBELE DAIMA NYUMA MWIKO.aluta continua......
Hapa ni kama unamzungumzia Samia mwenyewe. Hebu fikiria tumefikaje hapa kama siyo kwa sababu ya ujambazi wa Samia! anaowafanyia waTanzania.wale hawakuwa waandamanaji walikuwa mjambazi. muandamanaji anachoma kituo cha polisi sanaiba duka simu? wanavunja ATM? HALAFU MNAYAITA WAANDAMANAJI SHENZI KABISA , NAUMIA MNO WALIPIGWA SHABA WACHACHE MNO
Ukweli ni kuwa hakuna anayefurahia kusikia report ya CAG kila mwaka ikionyesha upotevu wa hela na matumizi ya hovyo bilioni 600 kilaNdoto2020, solution, suluhisho la kudumu ni lipi?
Ndio kutakuwa na vibaka, wahuni kenge kwenye kundi la mamba.
Unafanyaje? Kwanini usiongoze, kuratibu maandamano ukishirikiana na waandamaji na viongozi wao.
Ukiwanyima haki ya kuandamana watu ambao wamenyimwa haki zingine zote unategemea nini? Kila siku maandamano, Utaua wangapi?
wangeandamana kwenda ikulu au kufika mnazi mmoja na kuwasilisha ujumbe, kuiba simu za billnass ni maandamano? kuvunja kituo cha polisi na kuiba silaha ni maandamano? VIPI NYIE hamjifunzi nchi watu Madasca walichoma kituo hata kimoja ? Mnatetea ujinga , wale ni MajambaziHapa ni kama unamzungumzia Samia mwenyewe. Hebu fikiria tumefikaje hapa kama siyo kwa sababu ya ujambazi wa Samia! anaowafanyia waTanzania.
Hao waTanzania waliouliwa, uliwahi kuwasikia wapi kama si kwa sababu ya matendo ya kijambazi anayoyafanya Samia?
Kujizima akili haakuwasaidii kuonyesha kuwa mnajuwa chochote.
Kawaingiza chaka kina nani?Habili kawaingiza chaka wana Tiktok kwamba aliwasilisha barua kwa msaidizi wa Muliro.
sasa hapa sio sehemu za kujisifia maana hatujuani lakini nakusaidia kidogo, kama ukifuatilia post zangu nyingi kwa miaka 10 nyuma nalijua sana jeshi JWTZ na jeshi la polisi mno kwa sababu zifuatazo, Nimezaliwa na Mjeda naanza kupata akili miaka 10 tayari alishafikia cheo cha Lt Cornel tukiwa Monduli nimekulia kambi za jeshi Mama mzazi akiwa OCD yeye polisi, nimegraduate Mzee tayari Major General mama SACP na RPC , mimi wa mwisho kuzaliwa tupo 8 kaka zangu 4 na dada zangu 3 wote wapo majeshini isipokuwa mimi tu ndo niliponea chupuchupu nilenda kusoma nje, wa kwanza anamaliza du degree muhimbili akakuta ameshajaziwa form za kujiunga na jeshi na kaitwa kwenye ukuruta, wa pili na watatu wote wamemeliza forms 6 wakakuta wameshajaziwa form wakasomee urubani jeshini na mpaka leo wapo KIzuka ngerengere, wawili walisoma sheria na mwingine uhasibu wapo polisi ni wakubwa , mmoja yupo immigration , kwa hiyo nimekulia nikiona operations nyingi sana japo sio polisi wala mwanajeshiWee ni liongoooo, mxxxiiiieeeew
Uongooooo!!!!!!"sasa hapa sio sehemu za kujisifia maana hatujuani lakini nakusaidia kidogo, kama ukifuatilia post zangu nyingi kwa miaka 10 nyuma nalijua sana jeshi JWTZ na jeshi la polisi mno kwa sababu zifuatazo, Nimezaliwa na Mjeda naanza kupata akili miaka 10 tayari alishafikia cheo cha Lt Cornel tukiwa Monduli nimekulia kambi za jeshi Mama mzazi akiwa OCD yeye polisi, nimegraduate Mzee tayari Major General mama SACP na RPC , mimi wa mwisho kuzaliwa tupo 8 kaka zangu 4 na dada zangu 3 wote wapo majeshini isipokuwa mimi tu ndo niliponea chupuchupu nilenda kusoma nje, wa kwanza anamaliza du degree muhimbili akakuta ameshajaziwa form za kujiunga na jeshi na kaitwa kwenye ukuruta, wa pili na watatu wote wamemeliza forms 6 wakakuta wameshajaziwa form wakasomee urubani jeshini na mpaka leo wapo KIzuka ngerengere, wawili walisoma sheria na mwingine uhasibu wapo polisi ni wakubwa , mmoja yupo immigration , kwa hiyo nimekulia nikiona operations nyingi sana japo sio polisi wala mwanajeshi
Mwisho, kama ilivyo kwa wahaya nyumba ina maprof wengi, au wachaga nyumba ina watu wengi wa finance sisi bahati mbaya au nzuri sisi ni jeshini tu hata baba wadogo, wakubwa mashangazi kama sio wapo JWTZ, WAPO KIPENYONI AU WAPO POLISI hatuna wa magereza tu , Ingekuwa ni sifa ningefurahia lakini mimii Nadream niwe MO wa Tz sio kukaaa kwenye siasa au majeshini
Ukweli ni kuwa hakuna anayefurahia kusikia report ya CAG kila mwaka ikionyesha upotevu wa hela na matumizi ya hovyo bilioni 600 kila
wangeandamana kwenda ikulu au kufika mnazi mmoja na kuwasilisha ujumbe, kuiba simu za billnass ni maandamano? kuvunja kituo cha polisi na kuiba silaha ni maandamano? VIPI NYIE hamjifunzi nchi watu Madasca walichoma kituo hata kimoja ? Mnatetea ujinga , wale ni Majambazi
Vijana kaeni nyumbani. Kashasema kuwa kajipanga, mtavyokuja ndio mtavyojibiwa. usifikiri eti kwa kuwa upo kijijini hayatakukuta.Bado siku 3, acha tuone
hizo story za mange unaziamini? ni kweli kuna mapungufu serikalini lakini sio kudai mabadiliko kwa kuiba silaha , mtalia sana tarehe 9 , waone wenzio wanaochechemea na mavyuma mwilini , waulize hao maana ya Risasi ni nini?Utapata akili hivi karibuni.
Tanzania hasa Tanganyika haiwezi kutawaliwa na familia mbili, tatu Watanganyika wote tukapiga makofi kusifia huu ujinga.
Tunalipa kodi inatumika kututeka, kututesa, kutupoteza, kutuua sisi Watanganyika tunaoomba haki. Inayobaki inatumiwa na Samia, Abdul,Kizigha, Kikwete na chawa wao kuwatetea siyo kwa maendeleo ya nchi.
sawa kwenye hili hatubishani tena maana sio sifa wala topic ya kutujenga, tuongelee 9 D na mambo ya kutafuta hela ndo ya maanaUongooooo!!!!!!"
Uongoooooo!!!sawa kwenye hili hatubishani tena maana sio sifa wala topic ya kutujenga, tuongelee 9 D na mambo ya kutafuta hela ndo ya maana