Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi.

Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja. View attachment 2688790
Bandari bandari.
Pigeni Pia marufuku kundi au watu kuuza au kutoa Rasilimali Za nchi,msiishie tu kwenye mavazi.
 
Hivi inawezekana tukaifufua ile kesi tena akaozee ndani huyu. Rais Samia ulifanya kosa kubwa sana kumuachia huyu JPM alikuwa anawajuwa hawa tabia zao, hawabadiliki.
Bandari, bandari Hakuna namna kitaeleweka tu.
Wasomi sasa ni wengi kuanzia la saba hadi vyuo vikuu.
Ule ujinga na ujima umeisha bongo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…