Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Wao tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sare inafanana na ya Jeshi lipi nchini?Huu ndio utapeli,utavyaaje sare za taasisi nyingine,kwa nini usibuni sare zako,zisizofanana na taasisi nyingine.
Wee jamaa kichwani mwako hamna kitu kabisa !Huu ndio utapeli,utavyaaje sare za taasisi nyingine,kwa nini usibuni sare zako,zisizofanana na taasisi nyingine.
Ningeshangaa chawa awe na akili timamuBasi kengeza anajiona hapo anaulinzi. Ningekuwa polisi huyu kengeza alipaswa awe lupango na tena amshukuru Dkt Samia, lilipaswa lihukumiwe kunyongwa gaidi kubwa
Hiyo ni sare ya jeshi lipi?Jeshi la polisi liko sahihi.....
Haiwezekani mlinzi binafsi akavaa vazi hili hapa....View attachment 2688798
Niambie hizo sare sinafanana na nguo ya jeshi lipi?Huu ndio utapeli,utavyaaje sare za taasisi nyingine,kwa nini usibuni sare zako,zisizofanana na taasisi nyingine.
Kututoa kwenye Bandari haiwezekaniHii yote ni walinzi wa mbowe
Mimi ni bonge la Chawa!Ningeshangaa chawa awe na akili timamu
Nongwa ilianzia hapaView attachment 2688792
Yure mupe yure murukeNongwa ilianzia hapaView attachment 2688792
Hahah, unaweza kudhani ni marubani wa jeshi vile wanavaa 😂😂😂Hata WASABATO?
Vyombo gani vya ulinzi.Hapa Tz hakuna vyombo vya ulinzi,Bali Kuna vyombo vya AJIRA.Acheni utapeli wa kuvyaa sare za vyombo vya ulinzi.