Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Haya mavazi ya mabaka kama nyoka hayafai kwa raia. Polisi achaneni ni hizi makitu, Lindeni raslimali za nchi kwanzaJeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi.
Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja. View attachment 2688790