Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

K
Hivi inawezekana tukaifufua ile kesi tena akaozee ndani huyu. Rais Samia ulifanya kosa kubwa sana kumuachia huyu JPM alikuwa anawajuwa hawa tabia zao, hawabadiliki.
Katili mkubwa na bila shaka umetoka kwenye familia katili, hivi umeshawahi kuambiwa I love you kwenye maisha yako?
 
Sina uhakika na Hilo, lakini nadhani sababu ni za kiusalama zaidi. Majambawazi au wahuni wengine wanaweza kuyatumia vibaya mazavi hayo kwa urahisi ukizingatia watu wengi hawana uwelewa mpana kuhusu mavazi hayo.
Wengi hawajui kua hizi hazitumiki hapa, hizi zinazotumika hapa zinatumika maeneo gani, jinsi zinavyovaliwa, unadhifu wa mvaaji n.k
Sasa si watoe elimu Kwa raia badala ya kuwatisha?

Jambazi na mhalifu wapi na wapi au tokea lini akaogopa katazo na amri za polisi?
 
Acha upumbavu, tatizo hapo ni nini?,kwani jwtz hawajui au kutambua combat yao?,Tanzania ni police state kesho mtaambiwa kulala wote by 18:00hrs
Kama tatizo hulioni basi wewe mwenyewe ni tatizo [emoji1787]

Isome tena na uilewe hiyo barua ya polisi....
 
Back
Top Bottom