Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Haya mavazi ya mabaka kama nyoka hayafai kwa raia. Polisi achaneni ni hizi makitu, Lindeni raslimali za nchi kwanzaJeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi.
Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja. View attachment 2688790
wakijibu nistueHuyo mlinzi kavaa nguo za jeshi la nchi Gani?
policcm.Nongwa ilianzia hapaView attachment 2688792
Kama anatisha avae yeye asitomeze wenzake.Mbowe anatisha
Jeshi la polisi liko sahihi.....
Haiwezekani mlinzi binafsi akavaa vazi hili hapa....View attachment 2688798
UAE.Huyo mlinzi kavaa nguo za jeshi la nchi Gani?
UAE.
Nani watoe tamko?Sasa wao si ndio wangetoa tamko? Au tayari utekelezaji wa DPW umeanza?
Exactly hili nalo ni swali Konkii kwanini wanavaa nguo za kirahia mtaani na SILAHA siku Moja nimewakuta Doria nikahisi ndo majambazi wenyewe sasa.Hata hao polisi kuvaa nguo za kiraia halafu wanazurura mitaani kwa miguu wamebebelea SMG haina afya.
Hivi inawezekana tukaifufua ile kesi tena akaozee ndani huyu. Rais Samia ulifanya kosa kubwa sana kumuachia huyu JPM alikuwa anawajuwa hawa tabia zao, hawabadiliki.
Yes
Mlinzi wake zile nguo alizovaa Jana zimeshawavuruga tena
Mbowe anatisha
Ki memo kilienda tu usidhani kashinda,Alionewa!
Hawakuthibitisha Ktk Court, hakuwa Gaidi…, sote wenye utimamu wa akili tulisikia.
Si umesema vazi linafanana na jeshi la UAE na sio majeshi yetu, kwanini polisi wahangaike na mavazi yanayofanana na jeshi la nchi nyingine?Nani watoe tamko?
Teh teh teh 😂😂 Chadema wachokozi sana...haaa haaaaaaaa 😃Nongwa ilianzia hapaView attachment 2688792
Sina uhakika na Hilo, lakini nadhani sababu ni za kiusalama zaidi. Majambawazi au wahuni wengine wanaweza kuyatumia vibaya mazavi hayo kwa urahisi ukizingatia watu wengi hawana uwelewa mpana kuhusu mavazi hayo.Si umesema vazi linafanana na jeshi la UAE na sio majeshi yetu, kwanini polisi wahangaike na mavazi yanayofanana na jeshi la nchi nyingine?