Madereva kama mnajuwa tuna barabara nyembamba na mbovu Sasa ma speed ya nini!? Endesheni kwa tahadhari kutokana na miundombinu ya barabara zenu! Msikimbize Magari yenu Kama vile mko kwa N 1 highway mtakufa!!Source ITV:,mmmmm ,jeshi langu la police, tatizo SIO speed pekee, tatizo barabara zetu bado ni mbovu mno alama za usalama barabarani almost hakuna, Ile boundary muda mwingine double one zimefutika kabisa kipindi cha mvua hazionekani kabisa, hata vibao vya umbali kati ya mji na mji ni tatizo, vibao vya speed limits ni shida
Ameacha Watoto 19 Alifyatua Sana Mpaka Ule Msemo Wa Mzilankende AkaupitaHuyu dereva inasemekana alifariki kwenye ajali ya New force iliyoingia kwenye korongo Morogoro mwezi huu.
View attachment 2324857
Wanaenda mwendokasi wanasahau kuwa wanafamilia. Sifa zinawaua. Mwenyezi Mungu amrehemu
Iko wapi barua? Si serikali ilifunga speed governing devices, sasa inalialia nini?Jeshi la Polisi nchini limetoa barua za Onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani ambazo madereva.wake wanakimbiza sana Mabasi.
Wasipojirekebisha watafutiwa kabisa leseni zao
Chanzo: ITV
Ike ajali ni kati ya moro na ruaha mbuyuni(iringa) naskia alifariki mtu mmoja tu sasa sijui ndio huyo. Alitoka dar to MbeyaMoro sehemu gani,
Alitoka wapi kwenda wapi
Huyu dereva inasemekana alifariki kwenye ajali ya New force iliyoingia kwenye korongo Morogoro mwezi huu.
View attachment 2324857
Wanaenda mwendokasi wanasahau kuwa wanafamilia. Sifa zinawaua. Mwenyezi Mungu amrehemu
DWFireeeee iache iendeT 712 DPK Fata Chuma
Jeshi la Polisi nchini limetoa barua za Onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani ambazo madereva.wake wanakimbiza sana Mabasi.
Wasipojirekebisha watafutiwa kabisa leseni zao
Chanzo: ITV
Kwani matrafiki ni Jeshi gani bwashee?Wangetoa barua za onyo pia kwa matrafiki
Duh pole yaoIke ajali ni kati ya moro na ruaha mbuyuni(iringa) naskia alifariki mtu mmoja tu sasa sijui ndio huyo. Alitoka dar to Mbeya
aisee, a-rest in peace komrediereva inasemekana alifariki kwenye ajali ya New force iliyoingia kwenye korongo Morogoro mwezi huu.
kaweaisee, a-rest in peace komredi
Iyo hali haipukiki nchini mkuu watu kusimamia kwenye mabasi. Kwasababu ya idadi kubwa ya watu. Kinachotakiwa tu kudhibit mwendo Kasi.Juzi nimetoka Dar-MORO, gari limesimamisha kuanzia stand Mbezi. Njiani trafiki aliingia na hakushangaa chote utafikiri kawaida tu.
Haya mabasi yanasingiziwa tu hayakimbii hamjawahi kupanda mabasi ya miaka 2000 adi 2010,Huu upumbavu unaofanywa na yale mabasi yaendayo Mbeya/Tunduma na kupewa nguvu na baadhi ya raia na wana-usalama wa barabarani ipo siku yatafanya bendera kupepea nusu mlingoti.
Halafu ni wageni wa mabasiKipindi hiki wasafiri ni wengi kuliko vyombo vya usafri.
0658154533 tapeli wa mtandaoni weweHaya mabasi yanasingiziwa tu hayakimbii hamjawahi kupanda mabasi ya miaka 2000 adi 2010,
Sasa hivi kufika mbeya kabla ya saa 11 unapigwa faini, bado kuna vizuri moro, iringa, mafinga na makambako hata ukimbieje hayo maeneo lazima ufike kwa mda wao, lakini fahamu wakiachiwa uhuru wa kutembea bila ving'amuzi na timetable mbeya saa 10 engine ishapoa
Kwahy tuko 2000's sasa.?Haya mabasi yanasingiziwa tu hayakimbii hamjawahi kupanda mabasi ya miaka 2000 adi 2010,