Jeshi la Polisi latoa barua za onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani yanayokimbia kupita kiasi ruhusiwa

Jeshi la Polisi latoa barua za onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani yanayokimbia kupita kiasi ruhusiwa

Source ITV:,mmmmm ,jeshi langu la police, tatizo SIO speed pekee, tatizo barabara zetu bado ni mbovu mno alama za usalama barabarani almost hakuna, Ile boundary muda mwingine double one zimefutika kabisa kipindi cha mvua hazionekani kabisa, hata vibao vya umbali kati ya mji na mji ni tatizo, vibao vya speed limits ni shida
Madereva kama mnajuwa tuna barabara nyembamba na mbovu Sasa ma speed ya nini!? Endesheni kwa tahadhari kutokana na miundombinu ya barabara zenu! Msikimbize Magari yenu Kama vile mko kwa N 1 highway mtakufa!!
 
Kuna siku jeshi la polisi litawaandikia majambazi barua.
Dereva anayeendesha gari bila umakini Ni muuaji Kama jambazi Sugu lolote.
Hii haijitaji MTU kupata distinction pale ccp.
 
Moro sehemu gani,
Alitoka wapi kwenda wapi
Ike ajali ni kati ya moro na ruaha mbuyuni(iringa) naskia alifariki mtu mmoja tu sasa sijui ndio huyo. Alitoka dar to Mbeya
 
Juzi nimetoka Dar-MORO, gari limesimamisha kuanzia stand Mbezi. Njiani trafiki aliingia na hakushangaa chote utafikiri kawaida tu.
Iyo hali haipukiki nchini mkuu watu kusimamia kwenye mabasi. Kwasababu ya idadi kubwa ya watu. Kinachotakiwa tu kudhibit mwendo Kasi.
 
Huu upumbavu unaofanywa na yale mabasi yaendayo Mbeya/Tunduma na kupewa nguvu na baadhi ya raia na wana-usalama wa barabarani ipo siku yatafanya bendera kupepea nusu mlingoti.
Haya mabasi yanasingiziwa tu hayakimbii hamjawahi kupanda mabasi ya miaka 2000 adi 2010,
Sasa hivi kufika mbeya kabla ya saa 11 unapigwa faini, bado kuna vizuizi moro, iringa, mafinga na makambako hata ukimbieje hayo maeneo lazima ufike kwa mda wao, lakini fahamu wakiachiwa uhuru wa kutembea bila ving'amuzi na timetable mbeya saa 10 engine ishapoa
 
Haya mabasi yanasingiziwa tu hayakimbii hamjawahi kupanda mabasi ya miaka 2000 adi 2010,
Sasa hivi kufika mbeya kabla ya saa 11 unapigwa faini, bado kuna vizuri moro, iringa, mafinga na makambako hata ukimbieje hayo maeneo lazima ufike kwa mda wao, lakini fahamu wakiachiwa uhuru wa kutembea bila ving'amuzi na timetable mbeya saa 10 engine ishapoa
0658154533 tapeli wa mtandaoni wewe
 
Haya mabasi yanasingiziwa tu hayakimbii hamjawahi kupanda mabasi ya miaka 2000 adi 2010,
Sasa hivi kufika mbeya kabla ya saa 11 unapigwa faini, bado kuna vizuri moro, iringa, mafinga na makambako hata ukimbieje hayo maeneo lazima ufike kwa mda wao, lakini fahamu wakiachiwa uhuru wa kutembea bila ving'amuzi na timetable mbeya saa 10 engine ishapoa
Kwahy tuko 2000's sasa.?
 
Back
Top Bottom