jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Madereva kama mnajuwa tuna barabara nyembamba na mbovu Sasa ma speed ya nini!? Endesheni kwa tahadhari kutokana na miundombinu ya barabara zenu! Msikimbize Magari yenu Kama vile mko kwa N 1 highway mtakufa!!Source ITV:,mmmmm ,jeshi langu la police, tatizo SIO speed pekee, tatizo barabara zetu bado ni mbovu mno alama za usalama barabarani almost hakuna, Ile boundary muda mwingine double one zimefutika kabisa kipindi cha mvua hazionekani kabisa, hata vibao vya umbali kati ya mji na mji ni tatizo, vibao vya speed limits ni shida