Jeshi la Polisi latoa barua za onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani yanayokimbia kupita kiasi ruhusiwa

Nakuunga mkono mkuu
 
Jeshi la Polisi nchini limetoa barua za Onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani ambazo madereva.wake wanakimbiza sana Mabasi.

Wasipojirekebisha watafutiwa kabisa leseni zao

Chanzo: ITV

Hizo barua za onyonakala iko wapi​

Mimi nadhani onyo liwe kwa wale wanaohubiri kwenye mabasi, hawa wengine hawahitaji onyo ni kiasi cha utendaji tu kwa sasa.
 
Jeshi la Polisi nchini limetoa barua za Onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani ambazo madereva.wake wanakimbiza sana Mabasi.

Wasipojirekebisha watafutiwa kabisa leseni zao

Chanzo: ITV
madereva wamemaki mahala ambapo traffic hawakai hapo ndipo wanakanyaga hadi mshale unaelekea nyekundu.Labda kama kuna uwezekano traffic wabadili location wakati fulani na wapunguze kupokea rushwa.Mana dereva anawezakuwa amekamatwa kwa spid na wanamalizana kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…