Waache mambo ya Kizamani chuma zipepee watu wawahi kufika,,zamani Dar >Moshi ilikuwa Saa tano Bufallo lishafika ila sasa hivi eti Bus la kwanza saa tisa hata kiuchumi hiyo sio sawa...Mbeya Dar chuma ilikuw inaingia ubungo saa Nane mchana watu wanawahi mambo mengine,,,
Serikali iache mikwara wawaambie CCM waboreshe miundo mbinu iwe kama URAYA waweke Treni za mwendo kasi ziunganishe mikoa yote mikubwa na DAR pia viwanja vya ndege vya kutosha ili wanaotaka kuwahi wawahi na Treni za umeme au ndege,,wanaotaka kutalii wapande mabasi,,na ikiwezekana Ruti ya mabasi usiku iruhusiwe haiwezekani tulazimishwe eti usiju nchi nzima ni muda wa kulala,,,juzi kati kilimanjaro Exp alianzisha safari za Arusha>Dar na DAR>ARUSHA chuma inatoka saa mbili usiku alianza na gari moja ila watu wakawa wengi akaongeza zikawa gari nne ajabu serikali inayosema Kazi iendelee wakafungia na kuwakataza kufanya ile safari
Wacheni Vyuma vitembee wanaotaka kwensa taratibu watapanda basi za tratibu zinajulikana wanaotaka kuwa chakula nyumbani watapanda za mwendo wa umeme
Sent using
Jamii Forums mobile app