Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Police waache ushabiki maandaziJeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien.
Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea Simba kufunga goli la pili na kushinda. Wachezaji wa CS Sfaxien na benchi lao walimshambulia mwamuzi, huku mashabiki wao wakiharibu viti 256.
View attachment 3177617
Hii ni kawaida yaoMASHABIKI WA MBUMBUMBU ndio waliong'oa viti.
Tukuamini wewe au taarifa rasmi ya polisi?MASHABIKI WA MBUMBUMBU ndio waliong'oa viti.
Rudia kusoma upya.Mashabiki wa Simba hawana elimu kabisa