Makolo ndo zao kuvunja viti
Majinga sana haya majamaaa
 
Kwamba unajitoa ufahamu hujailewa hiyo statement ya polisi kuwa inazungumza kina nani waliotoa viti?
 
Huo ni uongo.

Waliong'oa viti ni mashabiki wa Simba na wakawarushia maafisa na wachezaji wa Sfaxien kama kisasi kwa fujo walizofanya Sfaxien.

Video hizi hapa


View: https://youtu.be/zCCoWFJGScU

View: https://www.youtube.com/watch?v=pbCWbl3c4zc
 
Nimeona wameandika kitaalamu sana na kwa akili ambazo sijui mwandishi ni wa namna gani. Nampongeza kwa kuwa ameonesha usmart wa hali ya juu sana. Tuendelee kujifunza. Je hili Prof. Kabudi anahusika?
 
Simba wajaribu viti kwa sababu gani?. Soma vizuri barua hiyo
 
Muliro mwenyewe ni kolo na ameandika barua bila kuwananga makolo wenzie.
 
Kwa maoni yangu, michezo inasimamiwa na mamlaka ya michezo, na si polisi kwa sababu si wasemaji wa mamlaka haya. Mamlaka ya michezo ndiyo inayopaswa kutoa tamko, na si polisi. Labda kama nitaelimishwa katika hili.
 
Vyura tengezeni na nyie report yenu tuisome ili tubalance story.
 
Wote tumeona Video kibao tu zinazoonyesha Tukio lote lilivyokua...!

Waarabu wanaanzisha vurugu, wanang'oa Viti kuwarushia Mashabiki wa Simba ..!

Nao Mashabiki wa Simba wasivyo na Akili, nao Wanang'oa Viti kuwarushia Waarabu...! Wanang'oa Viti kwenye kwenye Uwanja wao wenyewe, Uwanja ambao umetoka kufanyiwa Marekebisho juzi tu.....!

Serikali kupitia Wizara ya Michezo na TFF, iwapige fine Simba na walipe gharama zote za uharibifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…