Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wewe Pimbi unamtisha nani juzi tu hapa wamekufa wafanyakazi wa TRA kwa mambo hizi hizi..Jaribu kufanya hivyo uone shughuli yake na ujute kuzaliwa. Acheni kulea na kutetea wahalifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Pimbi unamtisha nani juzi tu hapa wamekufa wafanyakazi wa TRA kwa mambo hizi hizi..Jaribu kufanya hivyo uone shughuli yake na ujute kuzaliwa. Acheni kulea na kutetea wahalifu.
Kwa ufahamu wako, unaona kwamba hii ni habari ya kisiasa?Bila shaka wewe ni mhalifu au inashirikiana na wahalifu.
Umewahi kusoma PGO? Kila mhalifu ana aina yake ya ukamataji kulingana na mazingira. Huyo mhalifu aliwakimbia polisi na bado aligoma kutii amri halali ya polisi. Tena nasema polisi wetu wana huruma sana. Huyo ilitakiwa apigwe sana kwa virungu kumregeza Miguu yake ili atii sheria bila shuruti.unajua taratibu za kumshika mharifu ? hv raia watajuaje kama ni polisi na sio majambaz , Afrika ina viongoz wabovu na nyiny ndo mnawalea hlf lawama mnawapa wazungu , km tuna taratibu zipo na watumish hawafuati na raia mnawasifia kwa kutofuata taratibu kisa anaetendewa sio ww bas ni haki Unapoona matatizo yenu usianze wahusisha wazungu
hv hata kwa muonekano , jeshi linavaa vile ? hv kulikuwa na haja gan ya kutumia nguv zote zile ? mpk sasa wamepotea watu 300 kwa njia hii hii , sijui una moyo gan kutetea hawa wauaji ila amin ipo siku , mtawaomba raia kuwa upande wenu na mtakuwa mmechelewaWajitambulishe kwa mhalifu anayekimbia?
Anzisha jukwaa lako uweke masharti yako .Kwa ufahamu wako, unaona kwamba hii ni habari ya kisiasa?
Kweli uchawa na utaahira ni dugu moja
Kumbe Chuo Cha Polisi Moshi siku hizi wanafundisha jinsi ya kutumia mawe kumlainisha mhalifu anayegoma kukamatwa! Nitaomba tenda kusambaza mawe kwenye vituo vya polisi.Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.
Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.
Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.
View attachment 3245354
Soma: Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha
Mimi nasema hivi nguvu iliyotumika ulikuwa kidogo sana maana ilitakiwa kwa ubishi wake kupigwa virungu kisawasawa mpaka aache ubishi. Siwapendi kabisa wahalifu Mimi.hv hata kwa muonekano , jeshi linavaa vile ? hv kulikuwa na haja gan ya kutumia nguv zote zile ? mpk sasa wamepotea watu 300 kwa njia hii hii , sijui una moyo gan kutetea hawa wauaji ila amin ipo siku , mtawaomba raia kuwa upande wenu na mtakuwa mmechelewa
hana akili huyo , anawaza kutetea tu mpk siku akiwa muhanga ndo ataelewa , tabia ni mazoea alisema NYERERE , ukianza kubagua wengine mkimaliA mtaanza baguana wenyew , soon ccm wataanza tekana wao kwa wao na tutakuwa tunawaangalia tuKwa ufahamu wako, unaona kwamba hii ni habari ya kisiasa?
Kweli uchawa na utaahira ni dugu moja
Ujue kama nani? Kama hujui kama anayeshikwa mi jambazi au sio huelewiunajua taratibu za kumshika mharifu ? hv raia watajuaje kama ni polisi na sio majambaz ,
Wangejitambulisha kuwa wao ni askari (vitambulisho) na anayekamatwa ni mtuhumiwa (wanaonesha arrest warrant), huoni hata wananchi wangewasaidia kumkamata, kuliko vile walivyosumbuana na kuzusha taharuki?Ulitaka watumie njia ipi kwa mhalifu wa aina yake wa kutumia pikipiki kupora watu mabarabarani? Umewahi kuibiwa?
Acha kuwatetea wahalifu na uhalifu.hana akili huyo , anawaza kutetea tu mpk siku akiwa muhanga ndo ataelewa , tabia ni mazoea alisema NYERERE , ukianza kubagua wengine mkimaliA mtaanza baguana wenyew , soon ccm wataanza tekana wao kwa wao na tutakuwa tunawaangalia tu
Jibu zuri sana hili.Ujue kama nani? Kama hujui kama anayeshikwa mi jambazi au sio huelewi
Piga simu polisi kuwa hapa kuna tukio moja mbili tatu au ripoti kituo cha karibu cha polisi kwa mjumbe wa nyumba kumi au wa serikali ya mtaa eneo hilo
Udiiifanye wewe wajua kinachoendelea kuliko wao
Hawezi jua kuwa huyo mtu jambazi au la kwa kumkodolea macho.tu au kwa kuangalia aina ya ukanatwaji wake
hatuna jeshi tuna panya road tu na wajinga km @LucasMwashambwa ndo washabiki wa utekaji na mauaji ya raia , ila ipo siku watajutaKumbe Chuo Cha Polisi Moshi siku hizi wanafundisha jinsi ya kutumia mawe kumlainisha mhalifu anayegoma kukamatwa! Nitaomba tenda kusambaza mawe kwenye vituo vya polisi.
Kwa ku ripoti polisi kwa simuUngewatofautishaje hao Askari na watekaji?
Walimuonea sana huruma yule mhalifu. Maana ningekuwa mimi pale basi yule mhalifu angekimbilia gari kupanda. Maana huwezi kuanza kubembelezana na mhalifu.Wangejitambulisha kuwa wao ni askari (vitambulisho) na anayekamatwa ni mtuhumiwa (wanaonesha arrest warrant), huoni hata wananchi wangewasaidia kumkamata, kuliko vile walivyosumbuana na kuzusha taharuki?
Vijana tamaa zinawamaliza juzi majambazi walifia kwa muuza supu. Antirobery Police Kasulu Kigoma walikuwa doria na gari ya kawaida jamaa wakasimamisha kuteka wakijuwa ni ulaji kumbe mtego😁😁😁Vijana acheni tamaa za kuzidi mtakufa wengi sana hiki kipindi cha miaka 2025 mpaka 2045
Jamaa alikuwa akipigwa na jiwe, angalia vizuri Ile clip. Tuna jeshi lenye askari wa hivyo kabisa duniani.Mimi nasema hivi nguvu iliyotumika ulikuwa kidogo sana maana ilitakiwa kwa ubishi wake kupigwa virungu kisawasawa mpaka aache ubishi. Siwapendi kabisa wahalifu Mimi.
Uhalifu siyo dili wala shughuli ya kujivunia. Acheni kutetea wahalifu.hatuna jeshi tuna panya road tu na wajinga km @LucasMwashambwa ndo washabiki wa utekaji na mauaji ya raia , ila ipo siku watajuta
Siyo kila mhalifu unamkamata na arrest warrant kuna wahalifu wengine washakata kambaWangejitambulisha kuwa wao ni askari (vitambulisho) na anayekamatwa ni mtuhumiwa (wanaonesha arrest warrant), huoni hata wananchi wangewasaidia kumkamata, kuliko vile walivyosumbuana na kuzusha taharuki?
Hakupigwa vizuri. ilitakiwa apigwe kwa kirungu ili atii sheria bila shuruti.Jamaa alikuwa akipigwa na jiwe, angalia vizuri Ile clip. Tuna jeshi lenye askari wa hivyo kabisa duniani.
Bora ukutane na Majambazi, ukiwapa Hela wanakuacha salama, kuliko ukutane na hawa polisi wa sisiyemu, wakikukuta huna Hela, wanakubambikiza nunduki ama madawa ya kulevya