Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

unajua taratibu za kumshika mharifu ? hv raia watajuaje kama ni polisi na sio majambaz , Afrika ina viongoz wabovu na nyiny ndo mnawalea hlf lawama mnawapa wazungu , km tuna taratibu zipo na watumish hawafuati na raia mnawasifia kwa kutofuata taratibu kisa anaetendewa sio ww bas ni haki Unapoona matatizo yenu usianze wahusisha wazungu
Umewahi kusoma PGO? Kila mhalifu ana aina yake ya ukamataji kulingana na mazingira. Huyo mhalifu aliwakimbia polisi na bado aligoma kutii amri halali ya polisi. Tena nasema polisi wetu wana huruma sana. Huyo ilitakiwa apigwe sana kwa virungu kumregeza Miguu yake ili atii sheria bila shuruti.
 
Wajitambulishe kwa mhalifu anayekimbia?
hv hata kwa muonekano , jeshi linavaa vile ? hv kulikuwa na haja gan ya kutumia nguv zote zile ? mpk sasa wamepotea watu 300 kwa njia hii hii , sijui una moyo gan kutetea hawa wauaji ila amin ipo siku , mtawaomba raia kuwa upande wenu na mtakuwa mmechelewa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.

Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.

Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.

View attachment 3245354
Soma: Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha
Kumbe Chuo Cha Polisi Moshi siku hizi wanafundisha jinsi ya kutumia mawe kumlainisha mhalifu anayegoma kukamatwa! Nitaomba tenda kusambaza mawe kwenye vituo vya polisi.
 
hv hata kwa muonekano , jeshi linavaa vile ? hv kulikuwa na haja gan ya kutumia nguv zote zile ? mpk sasa wamepotea watu 300 kwa njia hii hii , sijui una moyo gan kutetea hawa wauaji ila amin ipo siku , mtawaomba raia kuwa upande wenu na mtakuwa mmechelewa
Mimi nasema hivi nguvu iliyotumika ulikuwa kidogo sana maana ilitakiwa kwa ubishi wake kupigwa virungu kisawasawa mpaka aache ubishi. Siwapendi kabisa wahalifu Mimi.
 
Kwa ufahamu wako, unaona kwamba hii ni habari ya kisiasa?

Kweli uchawa na utaahira ni dugu moja
hana akili huyo , anawaza kutetea tu mpk siku akiwa muhanga ndo ataelewa , tabia ni mazoea alisema NYERERE , ukianza kubagua wengine mkimaliA mtaanza baguana wenyew , soon ccm wataanza tekana wao kwa wao na tutakuwa tunawaangalia tu
 
unajua taratibu za kumshika mharifu ? hv raia watajuaje kama ni polisi na sio majambaz ,
Ujue kama nani? Kama hujui kama anayeshikwa mi jambazi au sio huelewi

Piga simu polisi kuwa hapa kuna tukio moja mbili tatu au ripoti kituo cha karibu cha polisi kwa mjumbe wa nyumba kumi au wa serikali ya mtaa eneo hilo

Usiiiifanye wewe wajua kinachoendelea kuliko wao

Hawezi jua kuwa huyo mtu jambazi au la kwa kumkodolea macho.tu au kwa kuangalia aina ya ukanatwaji wake
 
Ulitaka watumie njia ipi kwa mhalifu wa aina yake wa kutumia pikipiki kupora watu mabarabarani? Umewahi kuibiwa?
Wangejitambulisha kuwa wao ni askari (vitambulisho) na anayekamatwa ni mtuhumiwa (wanaonesha arrest warrant), huoni hata wananchi wangewasaidia kumkamata, kuliko vile walivyosumbuana na kuzusha taharuki?
 
hana akili huyo , anawaza kutetea tu mpk siku akiwa muhanga ndo ataelewa , tabia ni mazoea alisema NYERERE , ukianza kubagua wengine mkimaliA mtaanza baguana wenyew , soon ccm wataanza tekana wao kwa wao na tutakuwa tunawaangalia tu
Acha kuwatetea wahalifu na uhalifu.
 
Ujue kama nani? Kama hujui kama anayeshikwa mi jambazi au sio huelewi

Piga simu polisi kuwa hapa kuna tukio moja mbili tatu au ripoti kituo cha karibu cha polisi kwa mjumbe wa nyumba kumi au wa serikali ya mtaa eneo hilo

Udiiifanye wewe wajua kinachoendelea kuliko wao

Hawezi jua kuwa huyo mtu jambazi au la kwa kumkodolea macho.tu au kwa kuangalia aina ya ukanatwaji wake
Jibu zuri sana hili.
 
Kumbe Chuo Cha Polisi Moshi siku hizi wanafundisha jinsi ya kutumia mawe kumlainisha mhalifu anayegoma kukamatwa! Nitaomba tenda kusambaza mawe kwenye vituo vya polisi.
hatuna jeshi tuna panya road tu na wajinga km @LucasMwashambwa ndo washabiki wa utekaji na mauaji ya raia , ila ipo siku watajuta
 
Wangejitambulisha kuwa wao ni askari (vitambulisho) na anayekamatwa ni mtuhumiwa (wanaonesha arrest warrant), huoni hata wananchi wangewasaidia kumkamata, kuliko vile walivyosumbuana na kuzusha taharuki?
Walimuonea sana huruma yule mhalifu. Maana ningekuwa mimi pale basi yule mhalifu angekimbilia gari kupanda. Maana huwezi kuanza kubembelezana na mhalifu.
 
Vijana acheni tamaa za kuzidi mtakufa wengi sana hiki kipindi cha miaka 2025 mpaka 2045
Vijana tamaa zinawamaliza juzi majambazi walifia kwa muuza supu. Antirobery Police Kasulu Kigoma walikuwa doria na gari ya kawaida jamaa wakasimamisha kuteka wakijuwa ni ulaji kumbe mtego😁😁😁
 
Mimi nasema hivi nguvu iliyotumika ulikuwa kidogo sana maana ilitakiwa kwa ubishi wake kupigwa virungu kisawasawa mpaka aache ubishi. Siwapendi kabisa wahalifu Mimi.
Jamaa alikuwa akipigwa na jiwe, angalia vizuri Ile clip. Tuna jeshi lenye askari wa hivyo kabisa duniani.

Bora ukutane na Majambazi, ukiwapa Hela wanakuacha salama, kuliko ukutane na hawa polisi wa sisiyemu, wakikukuta huna Hela, wanakubambikiza nunduki ama madawa ya kulevya
 
hatuna jeshi tuna panya road tu na wajinga km @LucasMwashambwa ndo washabiki wa utekaji na mauaji ya raia , ila ipo siku watajuta
Uhalifu siyo dili wala shughuli ya kujivunia. Acheni kutetea wahalifu.
 
Wangejitambulisha kuwa wao ni askari (vitambulisho) na anayekamatwa ni mtuhumiwa (wanaonesha arrest warrant), huoni hata wananchi wangewasaidia kumkamata, kuliko vile walivyosumbuana na kuzusha taharuki?
Siyo kila mhalifu unamkamata na arrest warrant kuna wahalifu wengine washakata kamba
Wao tYRi wana arrest warrant ya juu kwa juu wakamatwe hai au wakiwa wamekufa

Ova
 
Jamaa alikuwa akipigwa na jiwe, angalia vizuri Ile clip. Tuna jeshi lenye askari wa hivyo kabisa duniani.

Bora ukutane na Majambazi, ukiwapa Hela wanakuacha salama, kuliko ukutane na hawa polisi wa sisiyemu, wakikukuta huna Hela, wanakubambikiza nunduki ama madawa ya kulevya
Hakupigwa vizuri. ilitakiwa apigwe kwa kirungu ili atii sheria bila shuruti.
 
Back
Top Bottom