Jeshi la Polisi lawashikiria wanachama BAWACHA walokuwa wanafanya mazoezi ya viungo (jogging)

Jogging ni kuvunja amani?
Jogging sio kuvunja amani ila kwa wafuasi wa Mbowe kulingana na rekodi zao hawa watu sio wa kuwaamini hata kidogo, wanatumia jogging kama mwamvuli wa kujifichia kumbe wanataka kutekeleza uhalifu.
kama mwenyekiti wao aliweza kutumia chama kupanga mipango miovu dhidi ya nchi sembuse wafuasi wake.
hao ni majambazi, wahuni, wauza madawa yaani ni Genge la kihalifu.
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama tunawaomba wawe makini sana na hawa watu, hawaitakii nchi hii amani, tamaa yao na furaha yao ni kuona amani inatoweka, hawa jamaa lazima waangaliwe kwa ukaribu sana.
pia kila mpenda amani awe macho na hili genge na ikibidi tutoe taarifa.
 
Umeenda Kanisani leo?
 
Umeenda Kanisani leo
 
Sawa mkuu,kuna siku furaha yako kwa mateso ya wengine itageuka kuwa huzuni!
Ishi maisha yako kwa kumtakia kila mtu kheri,hutaumia!
Nways,Tanzania ni yetu sote!
 
Walishawahi kufanya uhalifu wapi?
 
Reactions: PNC
Jogging ni kuvunja amani?

acha ujinga, si kakimbie nani kakuzuia?

nyie kima ndio maana JPM hakuwa na muda wa kuongea na nyie...

haya kimbia sasa!! umezuiwa maana yake wewe ni weak, hauna chako, hauna nguvu, hauna unaloweza kufanya zaidi ya kuandika tu humu
 
Ndiyo maana ajira zao zimetakiwa div 4 & 0 . Ahahahaaa
 
Baada ya misukosuko ya PGO huenda mazoezi ya ukamataji unaozingatia pgo umeanza,ila wasiogope hats vivuli vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…