Jeshi la Polisi lawashikiria wanachama BAWACHA walokuwa wanafanya mazoezi ya viungo (jogging)

Siku moja waweza na wewe kutamani wanajf wakutetee nchi hii haina mwenyewe ni wakati tu
 
Tokea Kibatala amemdhalilisha Kingai mahakamani,polisi wameamua kula sahani moja na Chadema.
 
Ni ufinyu wa akili...
Na mawazo mgando vikiongozwa na kujipendekeza
 
Ulitaka wavae suti? Unaogopa maneno kwenye fulani wakati wewe mwenyewe ukikimbia unaimba " mchakamchaka CHINJA". Hauoni hapo unahimiza watu wachinjwe?

Amandla...
Kwan wakati naimba hizo kuchinjana zilikuwepo nyakati izo !?
 
Hii ngoma Polisi wa CCM wanajiona wako juu ila kiuhalisia wanachezeshwa ngoma wasioijua
 
Ulitaka wavae suti? Unaogopa maneno kwenye fulani wakati wewe mwenyewe ukikimbia unaimba " mchakamchaka CHINJA". Hauoni hapo unahimiza watu wachinjwe?

Amandla...
Sina maneno ya kwenye kanga ,ngozi yangu inatosha kujigamba
 
Ipo siku, isiyokuwa na jina haya yataisha na kukoma ktk nchi hii
 
Ulitaka wavae suti? Unaogopa maneno kwenye fulani wakati wewe mwenyewe ukikimbia unaimba " mchakamchaka CHINJA". Hauoni hapo unahimiza watu wachinjwe?

Amandla...
Endleeni kuvaa kanga kam mashauz vikoba fc
 
mwanangu umetiririka kama vile kingai akikwema maswali ya pgo! Tenden haki bhana nchi yetu sote
 
Nadhani polisi wao na agenda ya siri.
Wanataka kumvurugia Mh. Rais. Yaani vitu wanavyo fanya ni aibu sana. Mh. Rais anatakiwa kuwa makini sana na Siro. Kuna kitu sio bure.
 
Sawa mkuu,kuna siku furaha yako kwa mateso ya wengine itageuka kuwa huzuni!
Ishi maisha yako kwa kumtakia kila mtu kheri,hutaumia!
Nways,Tanzania ni yetu sote!
Hata kwa Magu ulikuwa mpole kama hivi?
 
Hebu kisome ulichokiandika Mkuu kirudie tena huenda una pombe kichwani hujielewi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…