Jeshi la Polisi lawashikiria wanachama BAWACHA walokuwa wanafanya mazoezi ya viungo (jogging)

Pole. Povu nyingi sana umetoa. Ndiyo mwisho wako wa kufikiri? Naona zile lecture za Mzee Polepole hazijawasaidia bado
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, ACP Jumanne Murilo limekiri kuwashikilia wanachama wa BAWACHA waliokuwa wanafanya mazoezi ya viungo(jogging)
Jumanne tena , huyu Jumanne, Mahita jr, na Kingai wanaichukia sana CHADEMA .
Wametuua na kutupoteza sana, wametuteka na kututesa sana. Wamempiga Lissu risasi na tukapigwa risasi sana kwenye kampeni za uchaguzi.
 
Wamefanya nini???
 
Hata matako yako yanachezewa tu au vp
 
Wwe akili YAKO ipo sawa kweli?
 
Aliyeshika remote control ya PT anabadili channel balaa..wala hajali wenzie anaoangalia nao TV..
 
Tatizo la kuajiriwa kwa kutumia vyeti vya watu wengine. Yaani RPC kabisa ana ongea kama mtu alie toka kwenye vilabu vya pombe za kienyeji
Utafikiri ametoka msalani haja tawadha.....ana ugando...m.a.t....upuuzi
 
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hii nchi ni kama wanaishi enzi za mawe
 
Sasa kama wajeda wanafinywa mbupu mpaka wanaita mamaaa nafwaa policcm ni nouma
Kwamba.

"mama weeee.. nakufa huku polisi wataniua jamani eeh!"Alisikika mjeda mmoja akiangua kilio katika moja ya vituo vya polisi TZ[emoji1][emoji1].


Anyway! Ifike pahala mejeshi yetu yaache kutekeleza amri pasi na 'kureason'.Polisi kuweni na utu.
 
Jogging sio kuvunja amani ila kwa wafuasi wa Mbowe kulingana na rekodi zao hawa watu sio wa kuwaamini hata kidogo, wanatumia jogging kama mwamvuli wa kujifichia kumbe wanataka kutekeleza uhalifu...
Unaamini ulichoandika au unasukumwa na mapenzi ya chama?. Umeandika kana kwamba mbowe ameisha hukumiwa. Ikitokea akashinda kesi hiyo aibu mtaificha wapi? Fikiria kabla ya ku-comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…