Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi.

@policetanzania_imezuia_Kongamano_la_Katiba_wakitoa_sababu_kwamba__kutokana_na_matishio_yaliyo...jpg

USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
 
Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu , sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi

View attachment 1911792

Chicken head. Weledi tupa kule, hapa siasa tu
 
Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu , sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi

View attachment 1911792

USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
Wananchi siku hizi wako vizuri sana Kumbe na Barua mliandika?? huu ni ushahidi muhimu sana. Ngoja tusubiri mwezi uishe hali ikiwa shwari matishio yakiwa yamepungua tutaona watasemaje.

Tutaendelea kuomba nafasi kadri iwezekanavyo.
 
hivi kudai katiba mpya ni jambo baya? maana sielewi hii mambo inayofanyika na hili jeshi
 
Wananchi siku hizi wako vizuri sana Kumbe na Barua mliandika?? huu ni ushahidi muhimu sana. Ngoja tusubiri mwezi uishe hali ikiwa shwari matishio yakiwa yamepungua tutaona watasemaje.

Tutaendelea kuomba nafasi kadri iwezekanavyo.
Hakuna matishio
 
Wingi wetu na utayari wetu kuyajaza magereza yao utatukomboa tunataka nini kwa Mungu?
 
mkusanyiko usio wa lazina huu,usilinganishe na kusanyiko la siku ya wananchi kushangilia mpira[emoji1][emoji1][emoji1].

si nimesikia hamza pia alikuwa akidai katiba mpya!!!
 
Hata enzi ya uhuru kina Nyerere walitumia Yanga kupanga mission za uhuru kama vipi na nyie tumieni Yanga kupanga mission za katiba mpya achen kulialia
 
Lema, anasema uoga ni dhambi ya milele wakati yeye kakimbia yuko uhamishoni na watoto wake na mkewe daah.
 
Kumfuata Simba na kumshika kende zake sio ushujaa na kufunga mlango kwa komeo usiku sio uoga bali kujilinda. Lema kawaepuka wauaji wake wasiojulikana kwa kuondoka na huo sio woga ila kujilinda
 
Back
Top Bottom