MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwani Uvunjifu wa Amani hauwezi kutokea huko katika Tamasha kubwa la Yanga SC hiyo Kesho?Heshimu jeshi lako, ndilo linakulinda na kufanya uishi kwa amani
Kuna Watu ni Wapumbavu hadi mnaboa. Sababu hii ya Police ni ya Kitoto na nashangaa mnaitetea.
Uzee wa IGP Sirro umeanza sasa kuathiri hadi Ubongo wake na ameshaanza kuliharibu Jeshi.
Ningewaona Police wana Akili kama wangelisitisha pia na Tamasha hilo la Yanga SC linalofanyika Kesho.
Yaani unazuia Kongamano la Watu 1,000 na unaliachia Tukio la Watu 60,000. Kwanini msiitwe Wapumbavu?