MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwani Uvunjifu wa Amani hauwezi kutokea huko katika Tamasha kubwa la Yanga SC hiyo Kesho?Heshimu jeshi lako, ndilo linakulinda na kufanya uishi kwa amani
Ndicho wanachokiweza, akija Hamza wanasanda.Kama kawaida yake Polisi ya Simon Sirro imeamua kupambana na haki za kikatiba za wananchi za kujadili mustakbali wa nchi yao. Sijui Sirro anapata faida gani kwenye ubabe huu na uonevu huu dhidi ya wananchi.
Wafaidika wa matendo hata ya Polisi wapo Magogoni na Lumumba.Haiwezekani Mkuu anashupalia kuzuia Wananchi kukutana kinyume na Job description yake,waliomweka hapo wala hawaoni anawaharibia in long run.Kama kawaida yake Polisi ya Simon Sirro imeamua kupambana na haki za kikatiba za wananchi za kujadili mustakbali wa nchi yao. Sijui Sirro anapata faida gani kwenye ubabe huu na uonevu huu dhidi ya wananchi.
Halafu hawa wenye vikongamano,wakati wa JPM walikuwa wanashinda uvunguni mwa vitanda vyao ,wakiwajampia wanawake zao.Sasa wameona yupo mama ,wanaleta vikongamano uchwara.Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu , sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi
View attachment 1911792
USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
Anavunja Katiba hii mbovu kwa kukataa mjadala wa Katiba Mpya ya Wananchi.Hafahamu wajibu wake!Hivi hawezi kushitakiwa
Bila jeshi la polisi usingeweza hata kuandika andiko lako hili...tambua this country is protectedHii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu , sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi
View attachment 1911792
USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
Sasa akifa lema au lisu nani ataliamsha,hata Yesu alikimbia akarudi kuwakomboaLema, anasema uoga ni dhambi ya milele wakati yeye kakimbia yuko uhamishoni na watoto wake na mkewe daah.
Ashitakiwe kwa lipi mkuu? Uelewa wa wafuasi wa chadema ni mdogo Sana!!!Hivi hawezi kushitakiwa
Kwasababu ya ugaidi unaofanywa na jeshi la polisi kwa raia.Ndio maana Denmark wameamua kufunga ubalozi wao.
'Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia'. Mathayo 23:24Kwani Uvunjifu wa Amani hauwezi kutokea huko katika Tamasha kubwa la Yanga SC hiyo Kesho?
Kuna Watu ni Wapumbavu hadi mnaboa. Sababu hii ya Police ni ya Kitoto na nashangaa mnaitetea.
Uzee wa IGP Sirro umeanza sasa kuathiri hadi Ubongo wake na ameshaanza kuliharibu Jeshi.
Ningewaona Police wana Akili kama wangelisitisha pia na Tamasha hilo la Yanga SC linalofanyika Kesho.
Yaani unazuia Kongamano la Watu 1,000 na unaliachia Tukio la Watu 60,000. Kwanini msiitwe Wapumbavu?
Kongamano lipo palepale ama mmekubaliana na katazo la polisi?Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi.
View attachment 1911792
USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?