Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

Kongamano lipo palepale ama mmekubaliana na katazo la polisi?
Hao wako tayari kuua raia sababu ya ego tu.

Wanadhani wana nguvu sana sababu ya silaha wanazobeba, kama wao wanaume kweli wawagawie raia silaha na wao wawe na silaha kisha waone kama kuna mtu atawaogopa

Au waweke silaha chini zipigwe kavukavu, man to man na raia waone kama hawajakimbia!
 
ndo mana wanatwangwa kwasababu hawataki kufanya mambo kwaweledi
 
Kongamano lipo ama halipo? jibu ili watu wasichome nauli
 
Lema, anasema uoga ni dhambi ya milele wakati yeye kakimbia yuko uhamishoni na watoto wake na mkewe daah.

Mimi Ni Raisi Nae Jiamini JPM Mwisho Kilimkuta Nini[emoji1787][emoji1787]
 
Ndio maana tunapigania katiba mpya, tusifikiri ni suala la CHADEMA peke yao.
 
Correction.
Kile kikundi kidogo cha wanasiasa waliokosa nafasi za madaraka ndio kitashughulikiwa bila huruma. Kile kilichopata ushindi wa Tsunami ruksa kufanya siasa.

Amandla...

..Zanzibar wapinzani wanafanya siasa sijaona wakibugudhiwa.

..Huku Tanganyika kuna watu waliwekeza kwenye kuvibinya vyama vya upinzani wakati wa Magufuli wanalazimisha hali hiyo iendelee wakati wa Rais SSH.
 
Heshimu jeshi lako, ndilo linakulinda na kufanya uishi kwa amani
Hili jeshi ni hasara kukiko faida. Hata likifutwa, sungusungu watafanya vizuri zaidi kuliko hiki jeshi lililojaa ugaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…