Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hapana, walikuwa wanawasaidia polisi kuzuia mikusanyiko wakati huu wa Korona, ni kitendo cha kizalendo.Jana wamelipopoa mawe Prado jipya la Nccr Mageuzi huko tarime. Huo ni uvunjifu wa sheria.
Kwa mamlaka yapi?Hapana, walikuwa wanawasaidia polisi kuzuia mikusanyiko wakati huu wa Korona, ni kitendo cha kizalendo.
Huyu Mbowe si alisema yupo karantini Dodoma?Spika Ndugai yupo sahihi hatuwezi kulipa matapeli wa kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiti wa CCM akiwa Mzembe, Mbowe naye anaiga uzembe? Tooo low!Mwenyekiti wa ccm alipoongea na waandishi huko chato naye ni mzembe?
Ni wajibu wa kila mwananchi mzalendo kuilinda nchi yake, hivyo unatakiwa kulisaidia jeshi la polisi pale linapokengeuka.Kwa mamlaka yapi?
Kufanya kosa la jinai ni wajibu?Ni wajibu wa kila mwananchi mzalendo kuilinda nchi yake, hivyo unatakiwa kulisaidia jeshi la polisi pale linapokengeuka.
Kwenye kuwashughulikia wapinzani wako mstari wa mbele kuliko kushughulikia shida zetu.Mwanzoni nilijua kuwa mtu ndo anatakiwa kuwa na hofu na serikali. Lakini serikali saiv ndo ina hofu na watu.
Mawazo hayajawahi kupelekwa Osterbay - Nyerere
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulisaidia jeshi la polisi endapo utaona uhalifu unatendeka si jinai.Kufanya kosa la jinai ni wajibu?
Kwa Nccr mageuzi ni wahalifu?Kulisaidia jeshi la polisi endapo utaona uhalifu unatendeka si jinai.
Yaleyale wanayotumia NCCR kujikusanya sasa kuwahujumu chademaKwa mamlaka yapi?
Kwanini nae asiitwe na polisi kwa mahojiano?Mkiti wa CCM akiwa Mzembe, Mbowe naye anaiga uzembe? Tooo low!
Watanzania wengi hawapo online wanatumia TV radio kupata habari chadema kuongea na wananchi siyo kiki ni wajibu wao kama chama cha siasaChadema wana.mambo ya kizamani sana,yote tu kutafuta kiki ili.nao watikise kama Magufuli alivyoitetemesha dunia.na vipimo feki vya kichina
Kama wana jambo lao kwa nini wasiende live kwenye tovuti yao,insta,facebook.na huko twitter wanakoshinda
Mahojiano yapi taasisi ya CCM ikafanye mahojiano na chadema?huoni hapo hakutakuwa na hakiKwanini nae asiitwe na polisi kwa mahojiano?
Mbona nyie mnafanya mikutano ya ndani?Yaleyale wanayotumia NCCR kujikusanya sasa kuwahujumu chadema
Tehehe sasa mnavyojinasibu kuwa mtachukua dola kwa vurugu zenu za mitandaoni?Watanzania wengi hawapo online wanatumia TV radio kupata habari chadema kuongea na wananchi siyo kiki ni wajibu wao kama chama cha siasa
Wewe ni Mtetea Mafisadi na Majizi nchiniTuliosema warudishe posho wabunge wa chadema waliojifanya wako Lockdown hatukukosea wako Dar wanajirusha Mbowe huyo yuko Dar hayuko dodoma
Acha ushetani weweHuyu Mbowe si alisema yupo karantini Dodoma?Spika Ndugai yupo sahihi hatuwezi kulipa matapeli wa kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama jinsi CCM ilivyopima korona kwenye mapapai, kware, kondoo, mbuzi, kuku na sungura?Chadema wasanii wa kutupwa