Jeshi la Polisi liache mara Moja kuwafanya Watanzania Wajinga, Kama ni hizi sababu zenu, Kwanini hamuwakamati hao Watekaji na Wauaji?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Inatia sana Hasira kuona Chombo Cha Dola ambacho kinawajibika kuhakikisha Usalama wa Raia, kinakua Cha kwanza Kutafuta sababu za kipuuzi kabisa na ambazo ni mwendawazimu pekee ndio anaweza kuzikubali kuhalalisha Utekaji ,na Mauaji ya Raia Nchini.

Gtur9XzXwAArS-q.jpeg

Padre KITIMA nusura auwawe, kwamba ni wivu wa mapenzi? Kisasi? Alikua anafanya Jaribio la KUJIUA?.

MDUDE kabebwa kwake Usiku na watu wenye Bunduki na Silaha, mbele ya Mke wake na watoto.

Soka kapotezwa

LISSU alipigwa Risasi 16

Majuzi tumeshuhudia Askofu akisimulia alivyokua anafuatwa Kwa Gari na watu wenye Nia Ovu.

Sheikh Zanzibar kakutwa kauliwa, Kuna Sheikh mpaka Leo hajulikan alipo .

Visa vya Utekaji zaidi ya watu 100 vimeripotiwa.

Endeleni kuleta Uhuni, Bahati mzuri Kila kitu kipo wazi, Matendo yenu Maovu mnayoyafanya, yanajulikana, Nyakati zinakuja ambazo mtaumbuliwa na kuwajibishwa.

Kama wanajiteka, kama wanatekwa sababu ya wivu wa mapenzi, kisasi na blaa blaaj zenu mlosema, kwanini hamuwakati hao watekaji?? Kwanini hamuwakamati wauaji??? Intelijensia yenu inawapa sababu za watu kutekwa na kuuliwa ila haiwaambii ni akina nani wanaoteka na kuua kiasi mnashindwa kuwakamata??.
 
h

View attachment 3374985

awa kuna siku, labda wawe wamekufa........hii yote ni kiburi cha madaraka!.....................impunity....watatufanya nini
 
Inatia sana Hasira kuona Chombo Cha Dola ambacho kinawajibika kuhakikisha Usalama wa Raia, kinakua Cha kwanza Kutafuta sababu za kipuuzi kabisa na ambazo ni mwendawazimu pekee ndio anaweza kuzikubali kuhalalisha Utekaji ,na Mauaji ya Raia Nchini.

View attachment 3374985
Padre KITIMA nusura auwawe, kwamba ni wivu wa mapenzi? Kisasi? Alikua anafanya Jaribio la KUJIUA?.

MDUDE kabebwa kwake Usiku na watu wenye Bunduki na Silaha, mbele ya Mke wake na watoto.

Soka kapotezwa

LISSU alipigwa Risasi 16

Majuzi tumeshuhudia Askofu akisimulia alivyokua anafuatwa Kwa Gari na watu wenye Nia Ovu.

Sheikh Zanzibar kakutwa kauliwa, Kuna Sheikh mpaka Leo hajulikan alipo .

Visa vya Utekaji zaidi ya watu 100 vimeripotiwa.

Endeleni kuleta Uhuni, Bahati mzuri Kila kitu kipo wazi, Matendo yenu Maovu mnayoyafanya, yanajulikana, Nyakati zinakuja ambazo mtaumbuliwa na kuwajibishwa.

Kama wanajiteka, kama wanatekwa sababu ya wivu wa mapenzi, kisasi na blaa blaaj zenu mlosema, kwanini hamuwakati hao watekaji?? Kwanini hamuwakamati wauaji??? Intelijensia yenu inawapa sababu za watu kutekwa na kuuliwa ila haiwaambii ni akina nani wanaoteka na kuua kiasi mnashindwa kuwakamata??.
Toka lini Police wa Tanzania wakasema ukweli?
IMG-20250605-WA0025.jpg
 
Jeshi lisilo na weledi imekuja kuwa taasisi ya kihuni inayotumika kama kimada wa chama cha majambazi
 
From now onwards,, the situation may deteriorate badly
1750265252439.png
 
Hawa ni the comedy!
 
hawa nguruwe pori wanaanza kujisafisha kipuuzi baada ya masharti waliyopewa na USA, Si walikuwa wanajifanya miamba, shenzi sana
 
Hawa ni majambazi wanaovaa uniform, kazi yao kubwa ni kuteka,kutesa, kufira, kupoteza na kuua wakosoaji wa Samia.
 
Back
Top Bottom